Kila nikiingia huu mkoa lazima nipite kwenye hili bango na nilisome tena kwa utulivu "nyumbani peleka zawadi usipeleke virusi vya ukimwi"
Na kila mwenye masikio na asikie ๐คฃ๐ซกโจ๐ฅ๐น๐ฟ
Unaweza kuuzunguka mlima Kilimanjaro wote kama utapanda Boma Ng- Sanya juu - Ngarenairobi - Tarakea na ukashukia Himo.
Muonekano mzuri wa mlima ni upande wa Moshi na Sanya juu ila muonekano mzuri wa kilele cha Mlima kilimanjaro ni upande wa Tarakea. Bonge la view
@pichazasimu
Unaenda tembea uonane na wakulima shambani kutazama hali na kubadilishana mawazo, unakuta pest aliepita usiku ni tembo na kiboko ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bunda sio pa kitoto, nchi kavu tembo na viboko ukifuata maji kuna mamba.
Kilimo si cha watu lelemama ๐๐ฅ๐
@Mazikuagric
Kilimo kimenifikisha mwisho huu wa Tanzania.
Vijana kabla hamjaoa nawashauri tena Mfike mkoa wa Kagera, msijejutia baadae ๐๐๐๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
@Mazikuagric@msakufarm@Nalimasaumu
@Nalimasaumu@Mazikuagric@msakufarm Mzee uje huku maji ya kutosha, udongo mzuri maana kuna sehemu zinamchanganyiko na kichanga, udongo mwekundu ila kichanga kizuri sana kwa vitunguu aina zote, wenyeji wamelala wachache sana wanalima kitunguu humu karagwe