@Labella_Mafia95 Alimnyanyasa sana hadi kumwimbia wimbo. "Ulikuwa wakati na nyanyaswa" japo yule mwanamke ndo alikuwa poa kwake alimpenda jinsi alivyo pamoja na ngozi yake ya asili kabla ya mkorogo kuchukua nafasi yake kwenye sura halisi.
@Labella_Mafia95 Vijana kwa sasa media wamezivuruga kabisa yaani hawana kabisa maadili ya utangazaji na jinsi ya kuwahoji watu,Nadhani vyombo husika vinge ingilia Kati kwenye hili.Uwezi kuniuliza kama leo nimefanya na mke wangu Kuna issue ni za faragha.Kwenye media punguzeni usela.
@fgdewji Nitamchagua;Joseph Kusaga.
Maswali ya kumuuliza ni mengi kubwa ni,Amewezaje kufanyikiwa kuiteka tansia ya habari,burudani na michezo kwa kipindi kirefu?
@Thereal_Kabote Kutoa bastora kwa mwehu kama huyo ni ukichaa,South Africa wanawake wapo tena wazuri sana mi shape hiyooo,Huyo aendelee tu na hao Ma Mr.