Ukweli haupo pembeni au kati kati, ukweli upo chini ya uongo, lakini safari ya kushuka hizo ngazi za kwenda chini ya uongo ili kuupata ukweli ni safari ngumu na mwishoni hugeuka kua picha la kutisha pale utakapo taka kuupandisha juu huo ukweli ili uonekane au ufahamike
Kwa kuwa tumepewa muda mfupi kukamilisha kazi yetu na kwa kuwa kuna maeneo tumeshindwa kufikia hitimisho bila kujionea kwa macho yetu, tuliamua tuombe chopa ya Jeshi letu. #HK#MzeeWaField
"Maneno yao wenye hekima huwa mfano wa michokoo: na kama misumari iliyogongomewa sana: ndivyo yalivyo maneno yao walio wakuu wa makusanyiko, ambayo yatoka kwa mchungaji mmoja."