We support and empower people with disabilities, Children and Youth towards accessing health services, peace, justice and attaining sustenance of standard life
Ushirikano wetu na Serengeti Breweries umekuwa na manufaa makubwa kwa watu wenye ulemavu tunashukuru sana Serengeti Breweries kwa kufadhali FDH katika program za killimo kwa watu wenye ulemavu, ufadhali huu umesaidia watu wenye ulemavu kujiinua kiuchumi.
Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya foundation for disabilities hope ndugu maiko salali Hosea Akiwa Katika picha ya Pamoja na mkurugenzi mkuu wa shirika la madini la Taifa STAMICO Dr Venance mwase, Stamico imekuwa ikifadhili program mbali mbali za FDH
Think about the generations and to say we want to make it a better world for our children and our children's children. So that they know it's a better world for them, and think if they can make it a better place.
Nisingetamani Kuonaa Mtu Mwenye Ualbino Akibaguliwa Katika Nyanja Tofauti Tofauti, Vilevile Serikali iwajibike Kikamilifu Katika Kutoa Sera na Miongozo Sahihi Kwa Watu Wote Kwenye Jamii Kwa Ujumla ili Wafahamu Kwamba Mtu Yeyote Yule Anayo Haki ya Kuishi Pasipo Kubaguliwa.
"Tulipotoka na Hapa Tulipofika ni Vitu Viwili Tofauti Kwasasahivi Tunaona Hata Serikali inapambana Zaidi Kutoa Fursa na Miongozo Mbalimbali,Ushirikishwaji Hata Kwenye Ngazi za Kutoa Maamuzi, Kwaiyo Tunajivunia Angalau Tunaona Mwanga wa Sisi Kule Tunapo Taka Kwenda."-Grace Masima
Fdh tuna "Lengo la kuelimisha Kwa Pamoja Waone Kwamba Mtu Mwenye Ualbino ni Mtu kama Mwingine Yuko kama binadamu Mwingine Hawana Changamoto Yeyote Tofauti na Wanavyo ichukulia jamii Akilini." - Miraji Msigwa. Mkuu wa idala ya watu wenye ulemavu FDH
Mkurugenzi wa Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope (FDH), ndugu Maiko Salali, akiwa pamoja na viongozi mbalimbali, akisikiliza usomaji wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2024/2025 bungeni Dodoma.
FDH wakiongozwa na Mkurugenzi Maiko Salali na wabunge wanaowakilisha watu wenye ulemavu tumefanya mazungumzo na Mh. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu vijana, ajira na wenye ulemavu, Mh. Deogratius Ndejembi. Tulizungumzia kuhusu hali ya usalama kwa watu wenye ualbino Tanzania.