Kwenye maisha, kuna wakati for the sake of your mental health, let the life flow in autopilot mode😀, Lower your expectations, fanya yale unayoweza kwa wakati ule, usiende na pace ya wengine ambao umefanye upward comparison. Maana kila mtu ako na secret ya kipato chake aisee🙏🏾