@CShibitali Kwa maneno yale ya shigongo nina wasiwasi hata zile hadithi alikuwa anakopi sehemu na kuziinterprete. Mwenye kipaji cha utunzi ni mfikiriaji sana, mgonganisha mawazo ili apate wazo moja bora c kwamananeno Kama yale
UANAUME haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao. Unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa.