Game of Thrones imenifundisha somo moja kubwa kuhusu maisha.
Pale mtu anapotaka favour kutoka kwako, au anahitaji umfanyie jambo fulani, jiulize... “What’s in it for me?”
Watu hawafanyi maamuzi kwa sababu tu jambo ni sahihi. Mara nyingi wanaangalia pia kile wanachopata.
Usiangalie tu anachokuomba. Jiulize kwa nini anakihitaji, na wewe unanufaikaje.
@Innocen89950594 Huyo dada nilimuona msimbazi aisee..
Alivaa hivyo shanga zote nje
Na Kijiji Cha wanaume kilikuwa kinamshangilia Kwa kumfata nyuma
Hakuishia hapo aliendelea kudhurura kariakoo yote akaimaliza huyo alikuwa kazini na Wala hastahili huruma aisee
Mi naona upo sahihi tu.
@notgen13@kifly66@MsBrown_Tz Sometimes small details ndio zinaua urafiki, amini msipokuwa mnasolve italeta shida baadae, nyinyi si malaika bro na hamueezi kuwa sawa Eti wewe uchukulie normal na yeye achukulie normal
Sijui lakini what do I know. Ila mi wanangu walizingua nawachana