@SharonMontana20 Just keep on reaching out..usimpressurise akwambie anapatia nini but muonyeshe tu whatev he's going through kwamba he can count on you..kama ni mkristo jaribu kushare nae some bible verses..mm huwa naprefer serenity prayer..mwisho don't show him sympathy but give him empathy.
@FifthMarch53@kifly66@MsBrown_Tz Sisemi kwamba mwanao akizingua usimchane nachosema ni kwamba kuna vitu unafunika kombe tu..rafik ako lazima muwe na mutual understanding
@FifthMarch53@kifly66@MsBrown_Tz Urafiki hauwezi kuwa perfect vinyongo vinaweza kuwepo lakin as long as kuna love ya kweli hivyo vingine muda utavisolve.. A friend in need is a friend indeed.
@MiriamMkanaka Mostly ni kwa sababu ya ego kama ukiongelea Vulnerability kwenye angle ya gender that's the answer wanaume tunaogopa cz Vulnerability inakuja na gharama zake..Lakini kwa ujumla watu wengi sio kwamba hawapendi kuongelea magumu shida jamii tunayoishi haina emotional intelligence