Son of the most high God★only one life.soon will pass,But what's done for Christ will last.Goal to win million of souls for God
💫slave of love,Hunger for JESU
Kadri tunavyokua, ndivyo tunavyoelewa kuwa si kila tunachopanga kitafanikiwa. Kuna nyakati unapaswa kukubali disappointment, ujifunze, halafu usonge mbele.
Tabia zinazoharibu heshima yako
1. Kukaa kimya wakati jambo linakukera.
2. Kukubali wakati moyo wako unasema hapana.
3. Kujaribu kuwafanya kila mtu akupende.
4. Kuruhusu watu kuvuka mipaka yako
5. Kutoridhika na kulalamika kupitia kiasi
6. Kukaa sehemu ambayo huthaminiwi
Mithali 6:16-19
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA;
Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
1)Macho ya kiburi,
2)ulimi wa uongo,
3)Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia;
4)Moyo uwazao mawazo mabaya;
5)Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu;
6)Shahid wa Uongo asemaye uongo