My family drained me so much especially nikiwa campus. There is a day mzae aliniekea mia kumcall 5 days later hakuchukua😭.Alicall tena after 1 month. Nilikua second year by then. Sikuwaimpigia simu tena
Mnataka kufwata njia za mkato kusolve issues na mnajua Grandpa hapendi njia za mkato.🤣🤣🤣🤣🤣 mliambiwa andikisha report kwa police mkadhani anaside na perpetrator Hapo kwa Grandpa kama hauna integrity na haupendi kufwata sheria utaona nikama unaonewa