Hang in there, my brother Tundu Lissu! Leo watesi wetu wamejitia tena kidole. Wamezuia mikutano kwa kukuhofia. Naomba Mungu akulinde na akutunze. Utatoka na utakuwa Rais wa Tanzania. Taifa letu litakuwa la kupigiwa mfano. Stay stronger, Idolo! Mungu ni mwema. Free Tundu Lissu!
Serious question, hivi kweli CCM wanaangalia hii hali na bado wanadhani kuna possibility ya wao kuendelea kushikilia nchi bila ridhaa ya Watanzania??
Kweli Kikwete anaangalia hii hali na anaendelea kumdanganga kimama kuwa waendelee tu kung’ang’ania nchi kinguvu??
Mtanzania mwenye akili timamu akiona hii anajua kuwa kama haki isipopatikana haraka basi October 29 ITAJIRUDIA, ITS ONLY A MATTER OF WHEN, NOT IF!!!!!!!!!
🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment belongs to every mother who buried a child, every family still searching for answers, every victim of violence, every religious leader who stood firm, every journalist who spoke the truth, every activist who refused to be intimidated, and every Tanzanian who never stopped believing that accountability matters.
This is not the finish line.
But today, the world heard Tanzania.
Today, truth prevailed over propaganda.
Today, hope prevailed over fear.
Today, we moved one step closer to justice and accountability.
To everyone who prayed, advocated, testified, contacted congressional offices, shared evidence, and refused to look away-thank you.
The journey continues, but today we pause to thank God.
Justice delayed is not justice denied.
Safari bado inaendelea- ila leo haki imeshinda💪🏽
Thank you also to all senates and their staffers that heard our cries.
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
🚨 HABARI NJEMA: TUMEPATA USHINDI LEO!
Hatukukata tamaa. Hatukukaa kimya.
Leo tumepiga hatua moja muhimu kuelekea haki.
Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani (Senate Foreign Relations Committee) na sasa unasonga mbele katika hatua zinazofuata.
Ushindi huu ni wa kila mama aliyempoteza mwanae, kila familia ambayo bado inatafuta majibu, kila mwathirika wa ukatili, kila kiongozi wa dini aliyesimama imara, kila mwanahabari aliyesema ukweli, kila mwanaharakati aliyekataa kutishwa, na kila Mtanzania ambaye hakuwahi kuacha kuamini kwamba uwajibikaji ni muhimu.
Huu si mwisho wa safari.
Lakini leo, dunia imeisikia Tanzania.
Leo, ukweli umeshinda propaganda. (Niliwaambia ile picha ya mkono wa bendera ya Tanzania ikishikana na ya marekani yaliyochapishwa na hayo magazeti yaliyonunuliwa ni propaganda- leo si kimewaka?)
Leo, matumaini yameshinda hofu.
Leo, tumesogea hatua moja karibu zaidi na haki na uwajibikaji.
Kwa kila aliyeomba, aliyehamasisha, aliyetoa ushuhuda, aliyewasiliana na viongozi wa Marekani, aliyeshiriki ushahidi, na aliyekataa kugeuza macho yake pembeni -asanteni sana.
Safari bado inaendelea, lakini leo tunasimama na kumshukuru Mungu.
Haki iliyocheleweshwa si haki iliyonyimwa.
Now muachieni na Lissu
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
#justiceforTanzania
Kwa namna ambavyo Serikali dhalimu na katili ya MaCCM na watawala wake wanavyomtesa Tundu A.M Lissu gerezani, leo zikiwa zimetimia siku 428 tangu kuwekwa kizuizini, siku ambayo Mungu ataamua kugeuza kibao na Tundu A.M Lissu akawa Mkuu wa Nchi, kisha akaamua kuwawajibisha wahuni wote kwa makosa yao kwa mujibu wa sheria, asitokee mtu yeyote, mtumishi wa Mungu au jumuiya za kimataifa kulalamika. Kila tendo lina matokeo yake, na kila anayepanda atavuna alichopanda. 🙏🏾