My little birds have told me that Fernandes Barasa went to the African laboratory to seek winning of elections in 2022 but failed to pay the laboratory technician thereafter. So juzi he had went to seek a win after noticing Boni Khalwale may overtake him, but the lab technician sought to record him for failed payments.
Inasemekana huyo lab technician amemalizwa for recording and bringing Fernandes Barasa down.
Justice for African lab technician
Lakini itabidi tuambieni tu ukweli. Sometimes we all need to bring down our selfishness and greediness for the benefit of every person. Nithi Bridge construction hakuna mkikuyu amekimbia court kuenda kusimamisha hiyo mradi infact almost everyone kwa ground hajui kama billions will be used kutengeneza hiyo bridge.
But because Refinery imeenda Lamu every Kikuyu wants to oppose the move coz it's benefiting people of Lamu. Tukue watu wangwana majamaa. Hii tabia ya Gachagua ya kuwa Gitungati should cease. Let's allow development in every county
Nakumbuka nilikuwa nimesota sana 2015. Nikaenda kukimbia hizi mbio zenye hukuwa sponsored na KCB bank. My goal was to get a 45+ year old woman mwenye mihela zake. Nilingoja kwanza tukabaki na wamama pekee huko mwisho.
I used to encourage them venye wanaezamake it wasikufe moyo. Ilikuwa 2Km marathon. Watu huko kando walikuwa wananiona kifala sana coz I was young na nilikuwa nakimbia polepole tena kwa kundi ya wamama.
I was telling them venye am a gym guy and they loved me so much. After selling them my agenda nilikuja kugundua ni single mothers wenye wanatafuta someone to step up for their kid. Niligundua pia wao ni holloi poloi wenye wanatafuta a thirsty rich old man akuwe step father of their children.
Hiyo kitu iliniuma sana. Energy wasted on running na saa hiyo sijapata ata mtu wa kufinance maisha yangu. Ata Ndo maana niliacha kuenda gym.