@Balyx_ Pesa inayotumika kwenye anasa za viongozi na posho inatosha kujenga courts nchi nzima kila wilaya. Nimekua naball na watu wengi na wenye talents kubwa ila kikapu hakijawapa benefits zozote wanafanya for the love of the game. Viwanja vya kikapu vingi ni vya taasisi binafsi.
Suala la Arena ya Kigali, tumeshindwa kujifunza?
Mfano, budget ilowapeleka Wabunge Morocco tena bila ruhusa ya Spika, ilikua haitoshi kujenga Basketball courts za kawaida tu ila standart kwenye karibu kila Highschool kongwe nchini na ikawa Chachu?
I’m just thinking
Hawa malegend wa nyumbu ni wazuri tu wakiwa nyuma ya keyboard au kwenye kucriticize watu, arudi chapu kwenye punditry kama wenzake wakina Garry Neville. 😂
Bukayo SAKA
Eberechi Eze
Ethan Nwaneri
Jurrien Chukwemeka Timber
William Odinakachukwu Saliba
Today we Nigerians are standing strong for our Arsenal brothers