Jayrutty ๐ฃ๏ธ.
" Nikisema nimlete fei toto halafu niseme niuze jezi zake laki moja na kila jezi 100k am sure hela inaweza kurudi tuliomnunulia, ngoja niichukue hii kama challenge tuone"
-------------------
Afanye hivyo sidhan kama wana simba wanashindwa kununua jezi moja laki moja na jezi laki moja zinauzika fresh
Alikiba ๐ค
" This time diamond amefanya kitu kizuri ambacho kimenifurahisha kuona msanii mkubwa kama criss brown anacheza wimbo wa diamond, nampongeza sana diamond na ndo tunataka kufika huko kimataifa, hata nami natamani msanii kutoka nje kucheza ngoma zangu"
-----
Kama kaongea kwa kumaanisha Safi sana hii
Steve Nyerere ๐ฃ๏ธ.
" Pesa alizotunzwa mtoto wa Diamond zipelekwe wodi ya watoto kwa sababu mtoto kazaliwa katika familia inayojiweza hivyo ingependeza kama wangezipeleka kwenye watu wenye uhitaji"
----------------
Una maoni gani hapa?
Masoud kipanya ๐ฃ๏ธ.
" Naomba niwe mkweli leo niliacha utangazaji sababu sikua na vyeti vya ithibati na kwa miaka yangu hiu saiv 50+ kusema niingie darasani tena kusoma sio kweli"
Lakini pia uhuru ninaoupata nikiwa mtaan ni mkubwa sana na nina uwezo wa kufanya mambo mengi zaidi sababu huwaga nawafuata suppliers ila ningekua redio ingekua Changamoto kila mara kuomba omba ruhusa
------------------
Hivi Unadhani kwanini masoud ni mmoja ya watangazaji wakongwe wanaokubalika zaidi hapa Tanzania
Masoud kipanya ๐ฃ๏ธ.
" Kila mtu anatakiwa kujua ya kwamba dunia ndivy ilivyo, maisha hayawezi kua sawa"
- sio kila hasara ni kusindwa
- shukuru kwa neema Mwenyezi Mungu alizokujaalia maana kuna wengine wanatamani kua kama wewe"
- kipindi wewe huna viatu vizuri vya kuvaa, kuna mwingine hana kabisa miguu
- kipindi wewe unalia kua umetelekezwa na mtoto mdogo kuna wengine. Hawana kabisa kizazi
- muda huu huu kuna watu wana kata roho na wengine wanazaliwa
Kwahiyo usinungunike, shukuru kwa kila neema ambayo Mwenyezi Mungu amekujaalia na zidi kumuomba yeye, kua na subra na imani na wakati wako waja na kila kitu sema Allhamdullillah ๐
--------------------
Appreciate sana kwa kaka Masoud kipanya @masoudkipanya jamaa yupo real na role model wa vijana wengi Duniani.
Ricardo Momo ๐ฃ๏ธ
" Za ndaani kabisa ni kwamba kocha alikua hamuelewi striker aka ona huyu hatutofika mbali maana kwenye mpira mia alizokua akitengewa striker kwenye mazoezi miwili tu ndo ziliingia golini, kocha akaona huyu sitafika nae mbali"
---_------------------
Hii code Ni striker gani huyo?
Fay Momo ๐ฃ๏ธ
"Mr. Mwanya alinilipa Mil. 10 ili tuwe wapenzi kwa sababu kuna pambano walikua wakilipromote yeye na baba angela "
---------------------
Usanii unahitaji investment aiseee, sa 10M for what?
Diamond platnumz ๐ฃ๏ธ.
" Nikiwa na stress zangu huwaga zinaishia kwa dotto kwa sababu yeye ni mtu anayetumia kipaji chake kujua anazungumza nini na kwa wakati gani, ndo maana nikiwa na stress narud kuangalia clips zake najikuta nakua sawa"
-----------------
๐ฆ
Alikamwe ๐ฃ๏ธ.
" Kuna mchezaji tutamtambulisha soon amabae yupo huko anafanya nao mazoezi ambae ni hatari tutamtambulisha soon na hawatoamini watabakia kutoa milio tu"
----------------------------------
Hawa Uto wana mpango gani tena wa siri?๐ค
Dotto magari ๐ฃ๏ธ
" Diamond ndo GOAT wa mziki Tanzania kwa sababu yeye ndo kawatoa wanamziki wengi na wanaofanya vizur na kupata pesa Tanzania, inabidi apewe heshima yake kubwa sana kwa mengi ambayo ameyafanya nchini kwetu"
--------------------
Hapa sio uchawa ila Dotto kasema ukweli kabisa hapa
Mangungu ๐ฃ๏ธ
" Mimi ndo mwenyekiti wa Simba sports Club kwa kuchaguliwa, kwa mantiki hio mimi siwezi kufanya kikao na wanachama wa simba zaidi ya mianane halafu mtu aje aseme kikao kilikua batili, aliesema hivyo ni mwenyekiti wa bodi na wanaofanya mabadiliko ni wanachama wa Simba sports Clubsasa aje atuambie hayo ya iusema kikao hakitambui ni maamuzi yake binafsi au ya bodi na wakati jana bodi haijakaa, inakaa leo kwenye kikao na mimi kwenye hio bodi ni makamu mwenyekiti"
--------------------------
Wakae chini wamalize tofauti zao hawa
Diamond platnumz ๐ฃ๏ธ
" Mimi nilimwambia mwenzangu kua sitaki kujua mtoto atakua wa jinsia gani kwa sababu nilitamani aje anisuprise, lakini nishajua tayari na nilivyojua ni wa kike niliruka ruka maana naenda kua na mtoto wa kike kwa mara ya kwanza kutoka kwa mtoto wa kiTanzania"
---------------------
Mtoto wa kike ni Baraka
Juma Ayo ๐ค Mangungu jana ulifanya mkutano kule Bunju lakini Mwenyekiti wa bodi magoli anasema hautambui unaweza kutuambia imekuaje.
Mangungu ๐ค Kiukweli mkutano ulikua halali na mimi ndo mwenyekiti wa simba sports Club, huyo magoli ambae ni mwenyekiti wa bodi ya wadhamini aliesema mkutano ule ulikua batili aje atueleze ile kusema vile ni maamuzi yake yeye individual au ni ya bodi nzima, na kama ni ya bodi nzima atuambie hio bodi imekaa lini na kujadiliana na kutoa maamuzi hayo.
-----------------
Mambo ni moto sana wanangu