@Jambotv_ Kuna ambaye Ina Ile video halima mdee anawahamsisha wabunge kuchanga pesa
Huku akisema hakuna mbunge ambe acc inasoma chini ya bil 10 ,
Aiweke hapa tumkumbushe msukuma
@Coworker94@TBoundBuses Sio kweli hiyo ni NIT hawafundishi udereva
Bali wanaongeza maarifa na ujuzi na mbinu za udereva wa kujihami
Kama ww sio dereva huwezi pokelewa hapo