@zoomafrika1@zoomafrika1 katafute picha ya mwarabu akifanya hivi, utakuta ni picha za kuchorwa tu.. Wazungu ndo wabaya siku zote, hawatutaki mema hata .. picha zote za mwarabu akifanya ukolon za kuchorwa ila za mzungu na ni wakati huo huo ni zenyewe..
@MakauWaMuli @MakauWaMuli acha udini , jua kutofautisha waislam na uislam. Na kumbuka serikali haina dini.. sio kiongozi wa waislam huyu.. propaganda za kishamba kabisa .. ye ni mwana ccm
@teamchelsea21@Anastacy_28@Wanjiru2027 Nyie fateni ya kenya ya kwetu tuachieni wenyewe, yeas andamana usiharibu mali yangu, ukiharibu mali unakula shaba tu haina njia nyingine hiyo
@Joe__Bassey@AbroadTanzania@AbroadTanzania this is nepal , just propaganda. What do u expect, you enter into protesting while destroying properties , the end is just being killed nothing else..