@brela_tanzania Siku gani mtaboresha mtandao wenu!! Uhai wa biashara zetu haupo tena kwa sababu ya udhaifu wa mtandao wenu!! Ili tatizo linapata miezi miwili kwa nn hamuwezi kulimaliza tu??
@brela_tanzania BRELA Mtandao wenu unasumbua mwezi sasa inakaribia kufika!! Mlisema marekebisho ni ya siku mbili tu lakn leo jtatu bado hakuna mafanikio!! Biashara zetu zinakwama tunapoteza pesa na wateja!!
@NMBTanzania Naomba mrudishe pesa yangu ya @dstvtanzania__ Hela mmekata huduma sijapata match kali zinanipita simu zenu toka jana hampokei!! Admin wenu wa insta dm hajibu text!! In short mna dharau sana nyinyi!! Details zote zipo dm
@tanescoyetutz Habari, ni wiki ya pili sasa hapa Riverside Ubungo umeme unakatwa kila siku saa mbili asubuhi na kurudishwa saa moja usiku, muda mwingine tunalala giza kabisa, hakuna taarifa yoyote kutoka kwenu wala hatujuwi hatima ya umeme kwa wakazi wa eneo hili..tafadhari maelezo juu ya hili
@ccm_tanzania Chama tawala @tanescoyetutz imewashinda? Au Tanesco ndio imeshindikana!
2025 msitumie nguvu nyingi sana…Tafuteni mwekezaji wa umeme , mpeni shirika …umeme usipokatika miezi sita wananchi wanapa kula bila matatizo kabisa
@26mendz @mwangomo_sunday Hawawezi kuonesha it's against the rule!! Child pornographic content ni kitu inaweza kukumaliza Hollywood!
Ila kama una akili ya kutosha utaelewa maudhui ya ile scene
@Nnauye_Nape@Mtendo_Jr@CarolNdosi Matatizo ni
1.Ulaji wa bando
2.Bando zinaisha bila kutoa taarifa ya awali ya utumikaji wa aslimia 75% (picha hyo hapo👇🏾)
3.Huduma ya kwa wateja bado ni janga nimesubili siku 3 kupata Airtel Money statement!!
4.Internet 4G ni dhaifu na simu za kawaida zinasuasua
Hawa ni airtel,