"Lengo kubwa la utafiti uliofanyika kuhusu Mradi huu wa gesi ni kuangalia ni kwa namna gani unaweza kuwanufaisha watanzania na kuhakikisha watu ambao wameathiriwa na huu mradi waweze kulipwa fidia" @adamthony Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali#ExtractiveBaraza2024
#JustEnergyTransition
📣Attention students and recent graduates!
We've got an exciting internship opportunity. Join our team and unlock your full potential with hands-on experience and expert mentorship. Don't wait, apply now and pave the way to your dream career!
#Tanzania#NipeDili#Internship
Chagamoto kubwa wanazokutana nazo watoa huduma wazawa migodini ni ucheleweshaji wa malipo hii inawapelekea kudodora kwa utoaji wao wa huduma. Bado watoa huduma wazawa wanahitaji sana kujiimarisha kimitaji ili kuepuka changamoto hii.
#PolicyForumBreakFastDebate#LocalContent
"Halmashauri kwa kushirikiana na wadau mbali mbali kama NEEC na SIDO huwajengea uwezo wanawake kwenye vikundi na kuwapa mitaji ili waweze kushiriki katika kuuza bidhaa na huduma migodini lakini pia uwezo wa kuweza kushiriki kwenye fursa zingine mbali na madini." - Valeria Makonda
“Mfuko wa @WomenFund_TZ unatambua Wanawake wana mahitaji tofauti, kulingana na maeneo walipo, hali yao kielimu, kiafya, kiuchumi na mengineyo”
Gloria Mbia
#WomenInExtractives@HakiRasilimali
Wakati tunaelekea katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, @HakiRasilimali kwa kushirikiana na wanawachama wetu tumeandaa mjadala wa Kitaifa mkoani Shinyanga kuhusu ushiriki wa wanawake katika idara ya uziduaji. #WanawakeNaSektaYaUziduaji#WomenInExtractives
Wanachama mbalimbali wakijisajili tayari kuanza mjadala, ambao utaangazia mbinu za kufanya Ili kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya Uziduaji, sambamba na kuwajengea uwezo wa kukamata fursa hizi kimtaji na kiujuzi zaidi.
#WanawakeNaSektaYaUziduaji#WomenInExtractives
Working session on SDG 4 (Quality Education) 💻📊
The session involves analyzing and filling the SDGs tracking tool by stakeholders on the education sector in Tanzania led by @HakiElimu#vnr2023#leavingnoonebehind
Tunayo furaha, Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali@adamthony kuteuliwa na Waziri wa Madini kuwa Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi (TEITI) kwa kipindi cha 2023 - 2026. @EITIorg@NRGInstitute@ICNLAlliance