Top Tweets for #PolicyForumBreakFastDebate
#PolicyForumBreakfastDebate
#PolicyForumBD
Discussing 2023/2024 CAGs reports focusing on: Financial Accountability Trends in Tanzania
@InstituteWajibu

#PolicyForumBreakfastDebate
Ijumaa hii mjadala mkuu madini adimu yamekuwa fursa japo bdo hatujajipanga vizuri.
Nini kifanyike? Usikose kufuatilia @policy_F

Join us tomorrow, March 28, at Tanhouse (Stanbic Biashara Incubator) for a vital Breakfast Debate on "CRITICAL MINERALS AND TANZANIA’S ENERGY TRANSITION." Let’s seize opportunities & learn from the past!
#Policyforumbreakfastdebate

Serikali inashauriwa kuanzisha na kuboresha jukwaa la kuripoti kwa wananchi ambapo watu wanaweza kuripoti kwa siri shughuli za kifedha zenye mashaka zinazohusiana na ukwepaji kodi na utoroshaji wa fedha haramu (IFFs). #PolicyForumBreakfastDebate
Mapendekezo mbalimbali yametolewa kwa serikali, ikiwemo: kufanya marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi na Sheria ya Uwekezaji ili kuhakikisha motisha za kodi zinakuwa wazi, zina muda maalum, na zinategemea utendaji. #PolicyForumBreakfastDebate
Ushirikiano kati ya sisi na mataifa mengine inaweza pia kusaidia kupunguza ama kuangamiza utoroshwaji wa fedha haramu. #PolicyForumBreakfastDebate
Utoroshwaji wa fedha haramu unachangia kurudisha nyuma sekta ya kilimo. Tanzania imeshindwa kutenga angalau 10% ya bajeti ya taifa kwa sekta ya kilimo kama sehemu ya ahadi yake ya kufanikisha ukuaji wa wastani wa sekta huo wa 6% kwa mwaka. #PolicyForumBreakfastDebate
“Inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.83 zinapotea kila mwaka nchini Tanzania kutokana na utoroshaji wa fedha, pesa ambazo zingetumika kugharamia bajeti ya taifa na kusaidia miradi muhimu ya maendeleo” Israel Ilunde
#PolicyForumBreakfastDebate

Utoroshaji wa fedha unaathiri bajeti ya nchi na kuleta madhara makubwa kiuchumi na kijamii. #PolicyForumBreakfastDebate
"Serikali inaposhindwa kukusanya mapato ya kutosha au yanapokusanywa chini ya matarajio, utekelezaji wa bajeti unakuwa mgumu, hivyo kudhoofisha maendeleo ya taifa." – Israel Ilunde
#PolicyForumBreakfastDebate
Ukizungumzia utoroshwaji wa fedha haramu, unamaanisha yafuatayo:
1. Pesa imepatikana kwa njia haramu
2. Fedha imesafirishwa kwa njia haramu
3. Fedha imetumika kwa njia haramu
#PolicyForumBreakfastDebate
Utoroshaji fedha unaathiri moja kwa moja sekta ya kilimo. Kutokana na uhaba wa fedha imekuwa ngumu sana kuajiri maafisa ugani wa kutosha.
#PolicyForumBreakfastDebate

Utoroshwaji wa fedha unatokana na mambo yafuatayo:
1. Taasisi dhaifu za utawala
2. Mifumo duni ya udhibiti
3. Majukumu ya usimamizi yenye mashaka
4. Usiri wa kifedha wa kimataifa
#PolicyForumBreakfastDebate
Utoroshwaji wa fedha haramu unaweza pia kufanyika kwa namna mbalimbali, ikiwemo:
1. Kukwepa Kodi
2. Udanganyifu wa Bei (trade mispricing)
3. Utoshwaji wa mitaji
4. Magendo
5. Biashara ya silaha nk
#PolicyForumBreakfastDebate

Utoroshaji wa fedha haramu hutokea kupitia shughuli za kibiashara &kihalifu kama ukwepaji wa kodi,udanganyifu wa bei,ufisadi,magendo,usafishaji wa fedha haramu,&biashara haramu za dawa za kulevya,silaha,&binadamu.
Ni wakati wa kupambana na tatizo hili
#PolicyForumBreakfastDebate

Utoroshwaji wa Fedha haramu unaathiri sekta mama ya Kilimo ambayo uti wa mgongo wa nchi yetu,
Fedha zinazopotea zilipaswa kuboresha mnyororo wa thamani, uzalishaji mbegu bora na tafuti za kilimo
#PolicyForumBreakfastDebate
Katika mwaka wa fedha 2022/23, serikali iliidhinisha bajeti ya TZS trilioni 41.840 na kukusanya TZS trilioni 41.480, hivyo kusababisha upungufu wa TZS bilioni 360. Hii ilitokana na ukusanyaji duni wa mapato #PolicyForumBreakfastDebate
Utoroshwaji wa fedha unatokana na mambo yafuatayo:
1. Taasisi dhaifu za utawala
2. Mifumo duni ya udhibiti
3. Majukumu ya usimamizi yenye mashaka
4. Usiri wa kifedha wa kimataifa
#PolicyForumBreakfastDebate
TEITI imeripoti kuwa kati ya mwaka 2010&2017, Tanzania ilipoteza takriban 360m USD kila mwaka kupitia IFFs, hasa katika sekta ya madini, kutokana na kuripoti kiwango cha chini na udanganyifu wa bei za uhamishaji.
#PolicyForumBreakfastDebate
Utoroshaji wa fedha haramu hutokea kupitia shughuli za kibiashara &kihalifu kama ukwepaji wa kodi,udanganyifu wa bei,ufisadi,magendo,usafishaji wa fedha haramu,&biashara haramu za dawa za kulevya,silaha,&binadamu.
Ni wakati wa kupambana na tatizo hili
#PolicyForumBreakfastDebate
Last Seen Hashtags on Sotwe
vgkbocil
Seen from Indonesia
mersintraveſti
Seen from Germany
Daxnorman
Seen from United States
捏造自白
Seen from United States
แม่วางนัดเย็ด
Seen from Thailand
SeguroCasaHabitación
Seen from Argentina
股间女装
xlii or #exny or #momson or #nolimit() +filter:native_video
Seen from Turkey
cheating
Seen from Singapore
ForzaRiskka
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers






