wapo kisheria hivyo imeandaa utaratibu na ifikapo januari 2025 watu wataanza kuuziwa nyara ambazo zitakuwa halali kwa mmiliki atakae nunua na kupewa kibali kutoka Serikalini.
#FlamingoUpdates
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limedhamilia kufanya operesheni kali ya kubaini na kukamata watu wanaofanya ramli chonganishi na kuchochea uhalifu ikiwemo mauaji yatokanayo na imani za ushilikina.
Naye afisa mhifadhi daraja la kwanza Mary Kadeshi wa kituo kidogo cha Mwanza (TAWA) pamoja na kutoa elimu kuhusu nyara za Serikali, pia amesema Serikali inatambua uwepo wa waganga wa tiba asilia ambao
"Sisi Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza hatuwezi kuacha kuwashughulikia ndiyo maana mwaka huu tumekuwa na Operesheni zaidi ya nne za kuwasaka wahalifu kwa lengo la kuzuia mauaji ya watu" Amesema Mutafugwa
kilichofanyika katika Bwalo la Polisi Mabatini.
Pamoja na mambo mengine, Kamanda Mutafugwa amewaonya baadhi ya waganga wanaojihusisha na upigaji wa ramli chonganishi na kusema Jeshi la polisi halitasita kuchukuwa hatua kali za kisheria dhidi yao.
Hayo yamebainishwa leo Disemba 17,2024 na kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Wilbrod Mutafugwa wakati wa kikao kazi na waganga, wakunga wa tiba asilia pamoja, maafisa wa wanayapori (TAWA) na wadau mbalimbali
mshtakiwa kwa sababu watu wa namna yake ni hatari kwenye jamii na wamekuwa wakididimiza na kukatiza maendeleo ya wabinti wenye ndoto za mafanikio. Licha ya shufaa hizo za mshtakiwa, Hakimu Jagadi alimuhukumu mshtakiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela.
#FlamingoUpdates
Mkazi wa Nkalalo wilayani Kiwmba mkoani Mwanza, Nicholaus James (21) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha nne (jina linahifadhiwa) wa Sekondari ya Taro wilayani humo.
kumtishia kummchoma kwa kisu na kisha kumchania nguo zake za ndani. Baada ya kutiwa hatiani mshtakiwa aliiomba Mahakama imuachilie huru kwa kuwa ni mkosaji wa mara ya kwanza kakini mwendesha mashtaka aliisisitiza Mahakama kumpa adhabu kali
binti huyo, Mahakama ilijiridhisha bila ya kuacha shaka kwamba mtuhumiwa alitenda kosa hilo. Aidha, Mahakama hiyo ilielezwa kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo kwa kumvizia binti huyo wakati amekwenda kuchota maji na kumkamata kwa nguvu kwa
kwanza tarehe 14.08.2024 na kusomewa shtaka hilo ambalo alilikana na kesi hiyo kuahirishwa hadi tarehe 21.08.2024 kwa ajili ya kusomwa hoja za awali. Baada ya Mahakama kusikiliza mashahidi watano (5) wa Jamhuri akiwemo Mganga aliyemfanyia uchunguzi
katika Kijiji cha Nkalalo, wilaya ya Kwimba na mkoa wa Mwanza kinyume na vifungu vya 130(1)(2)(a) pamoja na kifungu cha 131(1) cha Kanuni ya Adhabu sura ya 16 ya sheria marejeo ya mwaka 2022. Mshtakiwa alifikishwa Mahakamani kwa mara ya
Hukumu hiyo ilisomwa jana tarehe 16.12.2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, John Jagadi mbele ya mwendesha mashtaka wa Serikali Juma Kiparo. Awali, Mwendesha Mashtaka aliieleza Mahakama kwamba mshtakiwa alitenda kosa hilo tarehe 07.08.2024,
Katika kesi hiyo ya Jinai namba 22882/2024, James ametiwa hatiani na Mahakama ya wilaya Kwimba kwa kosa la kumbaka binti ambaye utambulisho wake unahifadhiwa kwa sababu za kisheria (19) mwanafunzi wa kidato cha 4 shule ya sekondari Taro.
matumizi ya omega-6 pekee, bali pia upungufu wa omega-3 unaotokana na kutokula samaki wenye mafuta kama sato na dagaa. Uwiano sahihi wa virutubisho hivi viwili ni muhimu kwa kudumisha afya bora. #FlamingoUpdates
Utafiti wa karibuni umebaini kuwa baadhi ya vyakula vinavyotawala mlo wa kisasa vinaweza kudhoofisha uwezo wa mwili kupambana na seli za saratani, hasa kwenye utumbo mpana. Sababu kuu inayotajwa ni uwiano usio sawa wa mafuta aina ya
kusababisha uvimbe wa muda mrefu mwilini, hali inayochangia mabadiliko ya seli na hatimaye kuongeza hatari ya saratani. Kwa upande mwingine, wataalamu kama Dr. Bill Harris wameeleza kuwa changamoto si
Dr. Yeatman pia ameonya kuwa vyakula vilivyosindikwa kupita kiasi na vile vya haraka (fast food), ambavyo sasa vinachangia karibu 70% ya mlo wa watu wengi katika mataifa kama Marekani, vina kiwango kikubwa cha mafuta ya omega-6. Hii inaweza
mwili kupambana na mabadiliko ya seli yanayoweza kusababisha saratani. Hata hivyo, matumizi ya kiwango kikubwa cha mafuta ya omega-6, yanayopatikana katika mafuta ya mbegu kama ya mahindi, alizeti, karanga, na soya, yanaweza kupunguza faida za omega-3 mwilini.
ameonya kuwa vyakula vilivyosindikwa kupita kiasi na vile vya haraka (fast food), ambavyo sasa vinachangia karibu 70% ya mlo wa watu wengi katika mataifa kama Marekani, vina kiwango kikubwa cha mafuta ya omega-6. Hii inaweza kusababisha uvimbe wa muda
mwili kupambana na mabadiliko ya seli yanayoweza kusababisha saratani. Hata hivyo, matumizi ya kiwango kikubwa cha mafuta ya omega-6, yanayopatikana katika mafuta ya mbegu kama ya mahindi, alizeti, karanga, na soya, yanaweza kupunguza faida za omega-3 mwilini. Dr. Yeatman pia