Leo mioyo yetu inavuja damu, sura zetu zimejaa huzuni. Natoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki tuliowapoteza wapendwa wetu katika maandamano haya. Tunawashukuru kwa maisha yao hapa duniani. Roho zao zipumzike salama Amina 💔🕊️🇹🇿
Tarehe 28.02.2025 nilifunga Ndoa Takatifu. Muda mfupi baadaye, baba yangu alifariki dunia; alikuwa akipambana na saratani ya damu (Multiple Myeloma). Ilikuwa siku ya furaha, lakini baadaye ikawa huzuni na kumbukumbu katika maisha yangu.