Ukipata changamoto usiwahi kumwambia mama yako sababu yeye anaumi mara mbili yako na ukipata jambo la kheri mtu wa kwanza kumwambia ni mama yako sababu yeye ndiye atafurahia zaidi kuliko mtu yoyote.
@INFLUENCERjr Kwenye maisha Kuna siku utajikuta huna kabisa huna pesa, huna mtu wa kuzungumza naye, huna msaada wowote. Ila ukijikaza tu, ukiamka kila siku ukiwa na imani hata kama kidogo, utashangaa jinsi giza linavyogeuka kuwa mwangaza.
Nimefungua Community ambayo itawawezesha wajasiriamali kupitia huu mtandao wa Twitter kuweza kusukuma Biashara zao na kupata wateja wapya
Unaweza kujiunga kupitia link hii 👉 https://t.co/oZaDcK8XfB
Kindy Rts
Maisha ni Makali sana…kama una hata nauli ya kukupeleka unapohitajika leo na kurudi na una hela walau ya mlo mmoja kwa siku Sema Alhamdulillah🤲🏽…kesho will be a better day InshaAllah
Meet Amina Lweno (@queeen_minah), the self-taught makeup artist transforming DIY experiments into red carpet perfection, from weddings to runways, her journey from passion to profession is pure inspiration. Don’t miss her story this Friday, November 22, 2024 on The Beat.
Get your copy at your nearest newsstand or read online via Mwanaclick.
Android
https://t.co/GqcKFpcVnN
iOS
https://t.co/ynhrzr0xhP
website : https://t.co/mDR2obxdL5
#EmpoweringTheNation
Familia yako haijui ugumu na shinikizo unazopitia katika maisha yako ya kila siku au katika biashara yako.
Kazi yako haijui hali za maisha yako na nyumbani kwako.
Marafiki zako na wapendwa hawataelewa ukubwa wa majukumu mapya na ya zamani yaliyoko juu yako.
Mpenzi wako anasubiri upendo na msaada kutoka kwako, na hataelewa kiwango cha shinikizo unalopitia haijalishi umezungumza na kueleza kiasi gani.
Mwisho wa yote, hakuna mtu anayehisi kama unavyohisi wewe mwenyewe.. Hakuna atakayeelewa kile unachopitia...
Kwenye mtumba hasa nguo usiwe na haraka. USIJARIBU NGUO kamama hujaipenda.
Viatu vinahitaji macho kione kiatu kikisafishwa kitakuaje sio kikiwa hovyo.
Mfano: Hii kiatu tunayo, ila mwanzo usingamini ni hii.