UNAPOFIKA UMRI WA MIAKA 30 NA KUENDELEA, UNAPASWA KUWA NA AKILI ZA KUTAMBUA HAYA.
1. Hupaswi kukubali ushauri kutoka kwa watu ambao hawapo pale unapotaka kufika maishani.
2. Hakuna mtu atakayekuja kutatua matatizo yako. Maisha yako ni wajibu wako 100%.
3. Hakuna anayekujali kama unavyofikiria. Hivyo acha aibu, toka nje na tengeneza fursa zako mwenyewe.
4. Ukikutana na mtu anayekuzidi uwezo katika kufanya jambo fulani fanya nae kazi, usishindane nae
5. Usimwambie mtu zaidi ya anachohitaji kujua, Heshimu faragha yako.
6. Weka viwango vyako juu na usikubali chochote kwa sababu tu kiko tayari.
7. Familia unayoijenga wewe ni muhimu zaidi kuliko familia uliyotoka .
8. Jifunze kutochukua kitu binafsi ili kujiokoa kutokana na 99.99% ya matatizo ya akili.
UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA AMBAO WANAUME WENGI ambao HATUPENDI KUUKUBALI
1. Hakuna atakayekuja kukuokoa unawajibika kwa maisha yako mwenyewe, Ukombozi wako uko mikononi
2. Hakuna anayekupenda bila wewe kuwa na thamani. Watu wengi wanaheshimu matokeo, si sababu zako za kushindwa.
3. Maumivu na upweke ndio bei ya mafanikio. Ukivikwepa leo, utavilipa kesho kwa gharama kubwa zaidi.
4. Kila mtu anakuangalia kama mshindani, sio kama rafiki.Dunia ya wanaume ni ushindani, hakuna huruma pambana kufa kupona
5. Unawajibika kwa matatizo yako hata kama sio kosa lako. Maana maisha hayatofautishi kati ya aliyeumizwa na aliyejiumiza.
6. Watu watakutumia kama huna mipaka.
Ukishindwa kusema ‘HAPANA" utageuka kuwa daraja la watu kupita halafu wakasahau hata kukushukuru
7 Utachukiwa zaidi pale unapofanikiwa. Mara nyingi Mafanikio huongeza marafiki wachache, lakini yanaongeza maadui wengi zaidi.
8. Ubora wa mahusiano yako ndio unaamua maisha yako
9. Wazazi wako pekee ndio watakupenda ukiwa huna kitu
10. Comfort zone ndio Kaburi lako
Bro to Bro
Kulala na wanawake wengi si jambo la kujivunia. Kutulia na mwanamke mmoja mwaminifu na mwenye kumcha Mungu ndilo jambo la kweli la kujivunia.
If I’ve ever wronged someone or anyone in my past life or in this life please I seek your forgiveness, please forgive me🙏🏽, we suffer as human being but our hearts shouldn’t 😭
Most relationships taught me the more chances you give a person, the less they value you. They aren't scared to lose you bcoz they know no matter what, you won't walk away. Never let people get comfortable with disrespecting you. Love yourself and choose distance over disrespect.