@halimamdee Hii tz wetu inaendeshwa na mtu so analoamua yeye ndiyo hilo watu inabid wafatee Mimi na wewe atujui hiyo ziara inamaana gan ila mmmh ποΈποΈ miiaka kumi si mingi awamu ya Kwanza imebaki miez tu..
@shaffihdauda1 Atuna budi kukubari maana hazard ndiye alikuwa anamaamuz ya mwisho yeye mwenyewe ndoto yake ilikuwa akacheze bernabeu so upande wetu ametuacha na uzuni ilawewe ameondoka na furaha maana ndoto yake imekamilika
@ITVTANZANIA Misiba ya sikuizi nivichekesho badala ya kukaachini kuomboleza kwa majonzi watu wanatumia nafasi hiyo kukosoa mambo ya siyo na ukweli wowote walikuwa wapi kuongea wakati akiw hai jamani hemu tukumbuke Dr mengi naealikuwa binadamu kama sisi sasa tusiangalie nini alifanya