Kupitia mafunzo haya, tumepata uelewa wa kina zaidi na sasa tunajisikia kuwa tayari kuwasaidia na kuwaongoza wanafunzi wetu kwa kuwapatia taarifa sahihi na zenye manufaa.”
Mwalimu Juliana, Shule ya Sekondari Tinde.
“Kabla ya kupata mafunzo haya, baadhi ya maeneo ya elimu kuhusu afya ya uzazi hayakuwa wazi kwetu kama walimu, kwani maarifa hayo si ya kawaida katika jamii yetu.
In this phase, 10 schools in the Shinyanga region benefited from the training, and we believe that the participants will become strong advocates and agents of positive change within their schools and communities.
@DiamondsDoGood@TIE_Tanzania#FMFProjects#AfyaYanguHakiYangu
Many teachers and adolescents still lack access to accurate information and guidance on life skills education, leaving young people vulnerable to misinformation, harmful practices, and risky behaviours.
Through our Afya Yangu Haki Yangu program, we continue to bridge this gap across the regions we serve by equipping teachers and student leaders with essential life skills education based on SRHR, GBV, and HIV/AIDS.
Menstruation is a natural part of life, not something girls should feel ashamed of or limited by. Yet many underserved girls still miss school and opportunities because of period poverty and stigma.
As we commemorate International Menstrual Hygiene Day under the theme “Together for a #PeriodFriendlyWorld,” we call upon all stakeholders to collectively strengthen efforts in creating a world where no girl is forced to choose between her education and her period.
Happy Mother’s Day to all the incredible mothers and mother figures whose love, strength, and sacrifice shape families and communities every day. Your resilience and guidance continue to inspire the next generation to dream, grow, and thrive.
Nilimuelewesha kuwa hedhi ni jambo la kawaida la kibaolojia lisilopaswa kuogopwa wala kuona aibu, na kumfundisha namna sahihi ya kujihudumia.”
Magreth Nyagawa, Mwanafunzi shule ya sekondari J.M. Makweta.
“Ninajivunia kuwa elimu ya stadi za maisha haijanisaidia mimi tu, bali imenipa ujasiri na uwezo wa kusaidia wengine. Kupitia mafunzo haya niliyoyapata mwaka jana Septemba, nimemsaidia mdogo wangu wa miaka 13 alipopata hedhi kwa mara ya kwanza, huku mama akiwa safarini.
Baada ya mafunzo haya, nimejifunza kujipa moyo na kuongeza juhudi, hali iliyonisaidia kuboresha ufaulu wangu kutoka Division IV hadi Division III na kunipa matumaini ya kuendelea kufikia malengo yangu.”
CB Eldesta Daudi, mwanafunzi kutoka shule ya Sekondari J.M. Makweta.
“Elimu ya stadi za maisha imebadilisha mtazamo wangu kuhusu masomo na maisha kwa ujumla. Hapo awali nilikata tamaa na kukosa ujasiri nilipopata matokeo yasiyoridhisha.
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani!
Tunawapongeza wafanyakazi wote kwa juhudi, ubunifu, na kujituma kwao katika kujenga jamii bora yenye maendeleo endelevu.
#SikuYaWafanyakazi#MeiMosi#FMFProjects
Life skills education for teachers and student leaders is driving lasting change in Njombe. In this second phase, we revisited five schools to assess the continued impact of the initial training.
The results show increased knowledge, improved attitudes, and positive behavior change among both teachers and students. This reinforces that true empowerment goes beyond information, it builds sustainable systems that drive long term, meaningful change in communities.
Msichana anayepata mahitaji ya msingi, ikiwemo taulo za kike, ana nafasi ya kuhudhuria shule kwa uhakika, kuzingatia masomo yake, na kuboresha ufaulu bila kuathiriwa na changamoto za hedhi.
Kupitia mradi wetu wa Donate A Period, tunaendelea kupunguza changamoto za hedhi mashuleni na kuhakikisha hakuna msichana anayekosa shule kwa sababu ya ukosefu wa taulo za kike.