Top Tweets for #FMFProjects
A school cannot be called a school without proper wash facilities. What we handed over today is dignity, safety, and the power for girls to stay in school #FMFProjects

“True partnership doesn’t dictate ,it adds value. We appreciate partners who come, see the work on the ground, and support what is already working. Safar Global Foundation thank you for your Support " @FlavianaMatata Founder and Executive director FMF #FMFProjects

When we support teachers, we strengthen the entire learning environment. Today’s handover supports both students and teachers and this is sustainable impact to the school and the community at large #FMFProjects

Mkuu wa Wilaya Mh Shaibu Ndemanga amewataka wanafunzi kutumia vyoo vilivyokabidhiwa kwa uangalifu, na amewahimiza walimu kusimamia usafi na utunzaji wake. Ameahidi kusimamia mradi huu ili udumu na kuendelea kuleta manufaa kwa jamii. #FMFProjects

“Tulikuja kugundua kwamba @FlavianaMatata anapopata kazi basi anaomba asilimia fulani irudi nyumbani ili kusaidia kwenye sekta ya elimu na hii kwetu ni kubwa sana . Tunaona miradi iliyotekelezwa na FMF kwenye mkoa wetu yote ni mikubwa na ya kisasa #FMFprojects " Mkuu wa wilaya

“Sisi tunakuchukulia wewe @FlavianaMatata kama role model . Siku zote unarejea kuja kusaidia vijana kwenye sekta ya elimu kupitia FMF . Mkuu wa mkoa Mh Abubakar Kunenge amenituma nikupe salamu na pongezi hizi " Mkuu wa wilaya ya Pwani Mh.Shaibu Ndemanga #FMFProjects

Salamu za shukrani zimetumwa kutoka kwa Mbunge wa Jimbo, Mhe. Riziwani Kikwete, akitambua kazi nzuri na yenye tija inayofanywa na FMF katika kuleta maendeleo endelevu mkoa wa Pwani kwani pale shule ya msingi Msinune kuna madarasa pamoja na nyumba nzuri za walimu #FMFProjects

Mkuu wa Wilaya ya Pwani Mh Shaibu Ndemanga, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, ameishukuru Flaviana Matata Foundation (FMF) kwa kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo Pwani na kueleza kuwa jitihada hizi zina mchango mkubwa katika kuboresha elimu na jamii. #FMFProjects

Tunawashukuru sana wadau wetu Safar Global Foundation kwa kuunga mkono juhudi zetu za kutatua changamoto zinazowakabili watoto wa kike katika nyanja ya elimu.
#FMFProjects
#Sanitation
#QualityEducation

pamoja na mfumo wa maji safi na salama ili kuhakikisha watoto wote wanapata haki yao ya kusoma kwa uhuru na usalama wa afya zao. #FMFProjects #Sanitation
Mradi huu unajumuisha matundu kumi na mbili kwa ajili ya wanafunzi wakike, matundu mawili kwa ajili ya walimu, chumba maalum cha wasichana kujisitiri, chumba maalum cha wasichana wenye ulemavu, kichomea taka, sehemu ya kunawia mikono 1/2 #FMFProjects #Sanitation

Katika harakati za kuboresha mazingira shuleni, FMF tumefika shule ya sekondari Kiwangwa, mkoani Pwani kwa lengo la kuzindua na kukabidhi rasmi mradi mpya wa vyoo.
#FMFProjects
#Sanitation
Bidii zake katika masomo zilimwezesha kuhitimu kidato cha nne mwaka 2023 na kuweza kuendelea na elimu ya ngazi ya juu ya sekondari akiwa moja ya mabinti wanaonufaika na mradi wetu wa ufadhili wa masomo.
#FMFProjects
#FMFScholarships
#QualityEducation
#LetHerLearn
#GirlsEducation
Heshima kwa wazazi, umuhimu wa elimu, afya ya uzazi na ujasiri wa kusema “hapana” haya yote yanapatikana kupitia Bango Kitita lilorasimishwa na taasisi ya elimu . Darasa linalojenga kizazi Imara cha kesho #FMFProjects #LifeSkills

Kupitia Bango Kitita, wanafunzi wanapata jumbe zinazowawezesha kufanya maamuzi sahihi, kujilinda, kujiamini, na kuthamini elimu kama nguzo ya maisha bora. 💪📚 #FMFProjects #LifeSkills

Bango Kitita 📖 ni chombo kinachowafundisha wanafunzi si tu afya ya uzazi na usawa wa kijinsia, bali pia kujiamini, kuheshimu wazazi, na kutambua thamani ya elimu. 🌟 #LifeSkills #FMFProjects

“Kama mwanafunzi, usinyamaze unapofanyiwa ukatili. Sema ‘HAPANA’, omba msaada bila kuogopa kwani sauti yako ni kinga yako na ngao ya kesho yenye heshima.” Rehema Longo kutoka Taasisi ya Elimu #FMFProjects

Kujifunza kujiamini ni silaha ya kwanza ya kujilinda. Unaposema ukweli wako kwa ujasiri, hakuna anayeweza kukunyamazisha. #FMFProjects #StadiZaMaisha

📍 Tuko Njombe siku ya 4️⃣ ya mafunzo ya muundo wa klabu na bango kitita.
Mkufunzi kutoka Taasisi ya Elimu anawapa wanafunzi Mbinu muhimu za uongozaji wa clubs pamoja na stadi za
maisha ili wakirudi shuleni wawashirikishe wenzao. #FMFProjects #SchoolClubs #StadiZaMaisha

“Vijana wenye uelewa, afya bora na heshima kwa haki za binadamu hujenga taifa salama kesho. Stadi za maisha mashuleni si chaguo, ni lazima.” Rehema Longo #FMFProjects

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.4M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.6M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
80.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
68.8M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.4M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.1M followers







































