Treni ya Umeme ya kisasa (SGR) ambayo imeanza safari ya majaribio February 26, 2024 imetumia muda wa masaa mawili na dakika Ishirini kutoka Stesheni ya SGR Dar Es Salaam mpaka Morogoro ambapo ilitoka Dar saa 4.30 asubuhi na kuwasili Morogoro saa 6.50 mchana.
Profesa Mohamed Janabi ambaye ni Mshauri wa Rais wa Tanzania Masuala ya Afya na Tiba na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye uchaguzi uliofanyika Jumapili ya Mei 18, 2025 Geneva Nchini Uswisi.
Safari ya Maisha ya Paul Myovela, Kijana mpambanaji katika Manispaa ya Iringa ambaye shule haikuwa ufunguo wake wa maisha. Kutoka kuokota takataka mitaani mpaka kuanzisha kampuni ya usafi na anamiliki biashara ya Mgahawa na Car Wash
π
https://t.co/4lGXJ7L2ZB
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikiria Mwanaume aliyejulikana Kwa jina la Joseph Yustino Mwenye Umri wa miaka 28 mkazi wa Mtaa wa Mtwivila Manispaa ya Iringa, akidaiwa kumuua na kumkata vipande Mtoto wake mwenye Umri wa miaka 6 na kuvitupa Chooni
π
https://t.co/qJ9piJR2td
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Kheri James, Azungumza na Chombo cha Watoa Huduma ya maji ngazi ya jamii (CBWSO) Chini ya RUWASA Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, awapiga stop kutumia pesa mbichi, Pesa iende Benki na Maji yatoke Bombani.
π
https://t.co/nqoL4EQ7kM
B2K amefunguka akisema kuwa ni kweli alimtumia Shillingi Laki 7 Eddo Tiger Mtangazaji Maarufu wa Redio mkoani Iringa, ambapo B2K ameeleza kuwa kiasi hicho ni kidogo sana sio hadhi ya Eddo bali Mpango wake anatamani siku Moja Eddo aendeshe Gari lililotoka kwenye Mikono yake.
Fred Vunjabei alAweka Wazi Biashara yake ya Kwanza Kufanya kabla ya Nguo, Afunguka kusoma Chuo UDSM, Utumishi wake Serikalini kabla ya Biashara
π
https://t.co/kzxRxbOoCu
Anayefananishwa na Eddo Tiger Mnyama Mtangazaji Maarufu wa Ebony Fm Iringa Afunguka Ukweli Wote, ajibu maswali ya mashabiki mitandaoni.
π
https://t.co/0syDNMlux3
Huyu Sasa ndio Eddo Tiger Mnyama, Afunguka Mengi usioyajua kuhusu Safari yake ya Utangazaji mpaka kupewa jina na Diamond Platnumz.
π
https://t.co/HUv2bPVPod
Fred Vunjabei akiwa Iringa, Azungumza na Wananchi wapenda Michezo, Agawa Vifaa vya Michezo Kwa Timu 50, Fadhili Ngajilo Aeleza Historia ya Vunjabei Cup 2025.
π
https://t.co/i7mrCATqQ9
Exclusive: Msanii Eze Nice Apigwa Maswali, Amtaja Asas kwamba Amebadirisha Maisha yake na amemfundisha Utoaji, Akataa Ubunge, Awakataa Wana Wanaosema anatamba Mjini Kwa Pesa za Mshangazi, Atangaza Jambo Lake Live la Kimkakati.
π
https://t.co/d9ruBkgeiJ
DC Kheri James Akabidhi Msaada uliotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu kusaidia Kaya 241 Waathirika wa Maafa ya Mvua na Upepo Mkali Pawaga Iringa.
π
https://t.co/3olB0Yviy9
Uzinduzi wa Mradi wa Milioni 320 wa Maji Uliojengwa na RUWASA Kijiji cha Itagutwa Wilayani Iringa, Wananchi Washukuru Serikali, DC Kheri James aweka Jiwe la Msingi.
π
https://t.co/BwtqgFn56C
Madereva wa Bodaboda na Bajaj Walikuja kuchukua Mafuta ya Bure, Wakajua Wameyatimba Mbele ya Polisi aliposimama RPC Iringa.
π
https://t.co/mhmhxMIFDK