Nawahusia endelezeni uzalendo mlionao na muwe raia wema kwa kuwa tayari kuyaendeleza mawazo na fikra za waasisi wa taifa hili na viongozi waliopo madarakani.
Rais Dr.Hussein Mwinyi
#Chato#NiTaifaLetu
natoa indhari kwa vijana kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao kwani yana athari nyingi za kiuchumi ,kijamii na kiutamaduni.
Rais Dr.Hussein Mwinyi
#Chato#NiTaifaLetu
kesho ndio tunafikia kilele cha mbio za mwenge na kama tunavyojua mgen rasmi ni Mh Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Shime tujitokeze kwa wingi.
Rais Dr.Hussein Mwinyi
#Chato#NiTaifaLetu
Nawahimiza tutumie fursa za masoko zilizopo katika jumuiya za kikanda ambazo tanzania ni mwanachama yaani jumuiya ya Afrika mashariki na SADC.
#Chato#NiTaifaLetu
Napenda niwakumbushe watanzania wenzangu ili tuweze kufanilkiwa katika jitihada za kukuza ujasiriamali na viwanda, lazima tuache utamaduni wa kutumia bidhaa za nje ikiwa tunaweza kutengeneza nyumbani.
Rais Dr.Hussen Mwinyi
#Chato#NiTaifaLetu
Kwa upande wa zanzibar tumeanzisha vituo vinavyotoa amali, ni vyema wajasiriamali tukatumia vituo hivyo ili tuweze kufanya ujasirimali vizuri zaidi.
Rais Dr.Hussein Mwinyi
#Chato#NiTaifaLetu
serikali zetu zote mbili zimeanzisha vyuo vikuu ,shule za ufundi na taasisi mbalimbali zinaweza kuwajengea uwezo mbalimbali kwa wanaopenda kujiajiri.
#Chato#NiTaifaLetu
kule zanzibar muelekeo wetu ni kuimarisha uchumi wa bluu ambapo ninyi wananchi wa mikoa hii kanda ya ziwa mnaweza pia, mna fursa nyingi katika sekta ya uvuvi.
Rais Dr.Hussein Mwinyi
#Chato#NiTaifaLetu
Wito wangu kwenu andelezeni shughuli za ujasiriamali mkijua kuwa ndani ya Jamhuri y muungano wa Tanzania Kuna fursa nyingi kama kilimo, uvuvi, biashara na ufugaji