@godbless_lema Uchawa ni zao la demokrasia hii ambayo tunaipigania kuchagua upande na kuulinda kwa wivu mkubwa kwa mfano kamat kuu imemua lumlinda makamu kiti kwa wivu mkubwa hii ni uchawa pure kabisa ila ndo siasa maana.
@fbuyobe Tatizo limeanzia TEC waislam sio wapumbavu wanajua fika kwa nn TEC wamekuja na tamko lile japokuwa wanajisifia na izo PHD zao lakini hawawezi kumzidi uelewa aliyehifadhi QURAN
@TanzaniaLeaks Okelo aliongoza mapigano ili zanzibar iwe tanzania
Jumbe alipukutishwa uongozi ili zanzibar iendelee kuwa tanzania
Ukijadili muungano ni uasi ili zanzibar iwe tanzania
Hawakutuita tuliwafata wenyewe sasa tutulie kama tunanyolewa dawa iingie
Wala haicheleweshwi nafsi hata sekunde moja unapofika muda wake wa kuondoka duniani licha ya sababu za kuyafikia mauti zaweza acha maswali mengi kuliko majibu lakini kanuni ya MUNGU inabaki pale pale MUHUSIKA + ENEO LA TUKIO + SABABU YA KIFO = UMAUTI RIP ni suala la muda tu
@ExMayorUbungo Yalisikika mengi sna ila hatukuona tamko lolote kutoka katika chama juu wa wangwe chama kilipuuza uvumi au labda kiliheshimu faragha ya marehemu