Wanafamilia wanafunzi wa kada ha manunuzi na ugavi nchini tunamtakia Mh. Mrisho J.N @mrishojuma625 kila kheri katika siku hake hii ya kuzaliwa... Happy Birthday President
Wanafamilia wa Shirikisho la Wanafunzi wa Ndaki ya Manunuzi na Ugavi Vyuo na Vyuo Vikuu Tazania wanakutakia wewe na familia yako Heri ya sikukuu ya Maulid!
Shirikisho linawatakia mafanikio vijana wote wa darasa la saba nchini katika mitihani yao ya Taifa ya kuhitimu darasa la saba.
Mwenyezi Mungu awatangulie https://t.co/1NipIF1n2h