@BGatesIsaPyscho Ufunuo 6:8 Nami nikatazama na kumbe alikuwapo farasi mmoja hapo rangi yake kijivu Na jina la mpandafarasi wake lilikuwa Kifo, na Kuzimu alimfuata nyuma Hao walipewa mamlaka juu ya robo moja ya dunia wawaue watu kwa upanga,njaa,tauni na kwa wanyama wakali wa dunia
@Exquisite_255