This is what I am working on.
A personal finance app for tracking expenses, income, investments, loans and insurances.
Specifically Tailored for a Tanzanian
Nimekuwa busy kutengeneza App ya AkibaPlus mpaka nimesahau kuna HabariDuka na X π
App iko tayari na APK inapatika hapa https://t.co/kQzoONDJ1t
Sasa nipitie timeline kuona yaliyojiri.
Hizi ni baadhi ya screenshot za ndani ya app.
Ndo maana mtu nikimfundisha uwekezaji lazima nimsisitize hii hesabu.
Sehemu yoyote unapoweka hela chukua hiyo return wanakupa kwa mwaka toa inflation rate.
Inflation inacheza kwenye 3.5% ila siku zote nawaambia watolee 4% inayobaki ndiyo actual return yake. Na akiona jibu ni 0 au kushuka aachane nayo.
Ndo maana nazikataa sana fixed accounts.
Kunako elekea sasa nitafanya masterclass ambayo itafanya mtu yeyote aweze tengeneza apps na mifumo.
Unachohitaji ni muda na utayari wa kujifunza.
Sema ada yake Watanzania mtasema naiba.
TZS 150,000 per person. Somo la wiki moja tu.
Nafasi 15 tu.
Hata watu wawili tu nitafundisha ili niwatoe misconception mlizo nazo.
Mimi wala siogopi building in public mtu ukitaka kuiga iga tu. Kitu najua na kuamini ni kama huwezi fikiria product na mtumiaji anataka nini huwezi toboa.
Hii hapa sasa hivi naifanyia kazi ni personal finance app.
Leo nina kazi ya kuiwekea makato ya mitandao yote katika namna zote.
Bila marketing hakuna atakaye kuona.
Bila brand hakuna atakaye kuamini.
Kwenye Biashara unahitaji vyote viwili.
Wengi wanachanganya hapa.
Kurun ads = marketing
Kuwa na logo = branding.
Ukweli ni
Marketing = kupata attention
Branding = kujenga uaminifu