Over $20,000 in CASH prizes 💰
Traders, get ready for the biggest trading competitions!
The5ers, @The5ersFutures, @TradeThePool, and @TradeSetGo. are joining forces for the Trading World Championship 2026, the ultimate battle for traders worldwide (and much more).
🏆 Cash prizes
⚔️ Trading battles
🎁 Over $1,000,000 in Evaluation Accounts
The competition begins June 8th, and registration is free!
Every champion starts somewhere. This is your moment.
👉 JOIN NOW: https://t.co/5z0rJzMUwY
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi,
Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube,
Then akaweza kuvifanikisha,
Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake,
Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview,
Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale,
Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi,
Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine,
Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS,
Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana,
Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako,
Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications,
👇👇👇
https://t.co/T07wkSVztN
Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode,
OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.
@KijanaWaHovyo69@mrix_07@maluu_captain Yuko sahihi ni jina la brand iliyokuwa maarufu iliyokuwa inatengeneza aina hiyo ya gundi zamani -> cello tape . Usiconfuse na neno seal tape
@patrick_forreal@YesayaSoftware Mimi nakubaliana na Yesaya , japo ka generalize sana , ila ukija ukiongelea MFANO coding , kama uko sambamba na hizi modal zinavyoprogress , utagundua it's a matter of months or few years hayo yatakuwa fixed.
@YesayaSoftware Things have changed, shift iliyotokea ni kubwa sana, normal coding will actually disappear in coming years, we imagine kuandika each line of code saiv , it very feels slow ,
@HabariTech Yah , anthropics wako vizuri sana especially opus , sema ni kwasababu wamebase sana kwenye coding , ila chatgpt WAPO potepote na wako vizuri nyanja nyingi
@richardmaphie@Bigsyke20 Jambo Moja la kijinga ni kukwepa kujadili Mambo , sababu kubwa ni ipi ? Na wakati huko ndio mtu ANAWEZA kujifunza kitu kwa undani (kwa kuuliza maswali yanayomtatiza) Sasa bila hivyo unaweza kukaa na kumelekeza mtu kweli akikuuliza swali utamjibu , mna mentality gani nyie watu? 🤔
@SaumuYanga@francismtey Sawa, ninachomaanisha haujachanganua chochote hapo. Na usiwe offended na kila kitu , piatia ulichomjibu huyo , unaweza ukaelewa mapungufu au uaweza usielewe ni kuchagua tu.