Jina langu ni Yesaya, ninafundisha programming kwa kiswahili, naendesha majadiliano kuhusu TEHAMA, nafanya livestreams na kuhost podcast ya Yesaya Software.
Iโm happy to share that the Central Bank of Tanzania (BOT) @BankOfTanzania has granted @SwahiliesPay our own Payment Service Provider (PSP) License.
Over the past few years, we have worked with more than 15,000 SMEs through bookkeeping and embedded finance solutions. This license now allows us to build and launch our own financial products directly with licensed partners, while also serving businesses with higher transaction volumes.
We are getting back to work, focused on building bigger things for businesses across Tanzania and Africa!
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeipa kampuni ya Swahilies Company Limited @swahilieshq leseni ya kutoa huduma za kifedha na malipo Nchini Tanzania.
Kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikitoa huduma mbalimbali za kidijitali kupitia majukwaa yake kama @KuzaBusiness, imesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma zake kwa lengo la kuchochea ukuaji wa biashara za kidijitali Nchini.
Akizungumza baada ya kupewa Leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Swahilies Company Limited John Haule, amesema, โtunaishukuru Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote cha mchakato wa kupata leseni hii, tunaamini hii ni hatua muhimu kuelekea kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma za malipo Nchini Tanzania,โ amesema John Haule. #MillardAyoUPDATES
Miezi 5 bila kugusa cash! ๐คฏ Maisha ya kidijitali inawezekana kabisa ukiwa na @SelcomPesa. ๐ฅ
Halafu toleo lao jipya linalokuruhusu kufungua USD Account ni GAME CHANGER aisee! ๐๐ต Mambo yamerahisishwa sana.
(P.S. This is NOT a paid post, just appreciating good tech! ๐)
Wiki iliyopita jumamosi tulianza session yetu ya kwanza shukran ziende kwa @YesayaSoftware pamoja na Edwin Ringo kwa kutupa madini haya
Kama unataka kujoin group nafasi bado zipo karibuni.
Tanzania, we built you something ๐
30 guests only. Tuesday night in Dar es Salaam with me.
First look at NALA Global Accounts, a US dollar account made for us.
If you get paid in USD or want to store money in USD, or send money cross border from Tanania, you need to be in this room.
Apply now, closes when it closes ๐
https://t.co/chaNnVZ7hX
Claude Security is now in public beta for Claude Enterprise customers.
Claude scans your codebase for vulnerabilities, validates each finding to cut false positives, and suggests patches you can review and approve.
21km kwenye miguu yangu! โ Zaidi ya kumaliza umbali huu kwa mara ya kwanza, nimejifunza nguvu ya kuweka malengo na kutokata tamaa.
Ukiamua, mwili unatii. ๐๐พโโ๏ธ๐จ
#21km#HalfMarathon#Malengo
@AnthonChaz Hii iko vizuri hongera sana. Kwa upande wangu nimeshare moja kuhusu my personal website https://t.co/7dy2G11Kzp video YouTube ipo pia (Jinsi Nilivyotengeneza Website ya Portfolio Yangu kwa Kutumia AI! ๐
https://t.co/wi6Dmmq4eW)
Nimepakia video 3 YouTube, ile hii moja sio ya kukosa ni dakika 20 za faida.
Jifunze Gemini AI: Tafuta Wazo Sahihi la Biashara kwa Dakika Kadhaa! ๐
https://t.co/EnpzrYwIAY
@HabariTech Mambo haya akili huchangamka pindi mnapopata shida Mara nyingi unajikuta na kujitia moyo your system is a state of the art kumbe mna traffic ndogo
Once the traffic is bursted, mnarudi kwenye drawing board na kukuta kuna lots of issues na poor design that you never thought mwanzo