MSAADA WA FEDHA ZA MATIBABU
Habari ndugu
Tunaomba msaada ili kufanikisha upasuaji wa moyo wa mtoto, Salha Feruzi Msebei(miezi mitatu) ana tatizo la tundu kwenye moyo. Anatakiwa kufanyiwa upasuaji JKCI kwa gharama ya 7,180,000 lakini mpaka sasa imepatikana 2,000,000/=
Changia Chochote kupitia control number 994830505537
Namba ya mama mzazi wa mtoto ni 0781 244 918
One year ago, Tanzanian Police Force members detained, tortured, and sexually assaulted two activists. Today, the U.S. government is taking action to promote accountability for this heinous act.
TWITTER FAMILY NAOMBA TUSIMAME KIDOGO๐
Huyu ni binti anaitwa SALMA SAID ADAM. Alipoteza wazazi wake akiwa bado mdogo kabisa, akalelewa na bibi na babu yake kwa mazingira magumu. Ktk maisha yake yote ya shule, bibi yake ndiye alikuwa tegemeo lake kubwa.
Bahati mbaya, akiwa...๐
@George_Ambangil uzuri ni kwamba man u niwabovu mpaka utakapo cheza nao๐๐๐ww kumbuka ile pdg ya neymar na mbappe na bado walikaa huko huko kwao