Ye shall not respect persons in judgment; but ye shall hear the small as well as the great; ye shall not be afraid of the face of man; for the judgment is God's
@godbless_lema Brother lema wakati wewe nashangaa wachina kuwa wengi Tanzania!!
Mimi nashangaa Barabara za Arusha mjini zinazo jengwa kwa lami chini ya Kilometa 1. Kupewa kandarasi kwa wachina sasa najiuliza hivi kweli hakuna kampuni za wazawa zinazo weza kujenga nusu km ya lami?
Kwanza Kabisa SSH Angekua CHADEMA Asingewahi Kuwa Hata Balozi Wa Nyumba 10 … She is Very Incompetent To Be A Leader Hata Ngazi Ya Kijiji
Pili Awamu Hii Imethibitisha Pasina Shaka Kwamba Nchi Hii Hata Kichaa Wa Mirembe Anaweza Kuwa Rais Na Na Watu Wakamsifia Anaupiga Mwingi
Maridhiano mnayojadili ni kati ya nani na nani? CCM na CHADEMA? CCM iko Polisi, CHADEMA iko Ukonga. Sasa tufanyeje? Tuwafungulie CCM kutoka Polisi na CHADEMA toka Ukonga, ndipo tutapata fursa ya maridhiano ya aina yoyote!
ASANTENI sana kwa Tone Tone.
Lakini ni muhimu tuambiane ukweli. Bado sana. Kasi yetu ni ndogo mno kulinganisha na ukubwa wa CHADEMA, idadi ya watu wanaotamani mabadiliko na ukubwa wa jukumu lililo mbele yetu.
Mabadiliko hayaji kwa maneno mazuri, likes, shares au shangwe za mikutano. Mabadiliko yanahitaji sacrifice. Yanahitaji commitment. Yanahitaji kila mmoja wetu kubeba sehemu yake ya mzigo.
Tunaweza kuzungumza kwa saa nyingi kuhusu demokrasia, haki na mustakabali wa nchi yetu. Lakini ukweli mmoja unabaki palepale, hakuna chama cha siasa kinachoweza kufanya kazi bila fedha za kutosha. Na hatuwezi kuwa na fedha za kutosha kama utamaduni wetu wa kuchangia utabaki kuwa wa kusubiri wengine wafanye.
CHADEMA ina uwezo wa kukusanya hata bilioni moja kwa siku. Kinachotukwamisha siyo umaskini wetu, bali mtazamo wetu. Kila mmoja wetu anamfikiria mtu fulani atachanga. Naye huyo mtu fulani anamfikiria mtu mwingine atachanga. Mwisho wa siku, hakuna anayechanga vya kutosha kwa sababu kila mtu alikuwa anamngoja mtu fulani. Nina habari moja kwako. Huyo mtu fulani ni wewe.
Usisubiri mwanasiasa. Usisubiri mfanyabiashara. Usisubiri tajiri. Usisubiri rafiki yako. CHADEMA ni jukumu letu sote. Kiasi unachotoa siyo muhimu kuliko uamuzi wako wa kutoa. Tone Tone ya watu milioni moja ni kubwa kuliko mchango wa mtu mmoja wa milioni mia moja.
Tusijenge utamaduni wa kushangilia wanaochanga. Tujenge utamaduni wa kuchanga. Tafadhali, kuwa sehemu ya suluhisho. Kuwa huyo mtu fulani anayechanga, na siyo yule anayefikiri mtu fulani atachanga.
Mabadiliko tunayoyataka hayatakuja siku moja. Lakini yanaweza kuanza leo, kwa Tone Tone yako.
Pls, be concerned.
Much Love !
Kila mchango, mkubwa au mdogo, ni sehemu ya kufanikisha Baraza Kuu la CHADEMA litakalofanyika tarehe 15/09/ 2026.
Changia:
M-Pesa
📱 0744 446 969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
🏦 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Changia leo. Tufanikishe Baraza Kuu.
Mhe. @HecheJohn Mungu aliruhusu tarehe kama ya leo uzaliwe kwa kusudi maalum na hakika unaliishi kusudi la Mungu la kupigania watu wake.
Happy birthday kaka @HecheJohn ✌️❤️
Mungu akutunze na akubariki 🙏
ASANTENI WATANZANIA!
TUMEFIKIA 10% YA LENGO LETU ✌️
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa na moyo wa kujitolea. Kwa ushiriki wenu, mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 34.8, sawa na asilimia 10 ya lengo letu la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Hii ni hatua kubwa inayodhihirisha kwamba tukisimama pamoja, hakuna lengo lisilowezekana. Kila mchango una thamani, na kila anayechangia anakuwa sehemu ya historia ya kujenga CHADEMA imara.
Safari bado inaendelea. Tunawaalika wanachama, wapenzi na Watanzania wote kuendelea kuchangia na kuwahamasisha wengine kushiriki ili kwa pamoja tufikie lengo la TSh. Milioni 334.
Samia aliuwa hadi mtoto wa miezi mitano. Aliuwa mama mjamzito. Alikatisha ndoto za vijana wengi sana. Leo anajitapa kuwa bingwa wa haki za binadamu. Akae akijua hakuna kiasi cha jiki kitamsafisha. Sisi hatutasahau, na hatutakubali uhalifu ule dhidi ya ubinadamu upite hivihivi.
‼️MKAKATI WA KUIHUJUMU CHADEMA WAVUJA‼️
Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul wanahaingaika kuihujumu CHADEMA kisa wameona Viongozi wetu wamegoma kuimba wimbo wao wa maridhiano (MAVIZIANO)
Sasa hivi kupitia Mkuu wa Dawati la Siasa wa TISS, wamewapa pesa vibaraka wao akiwemo Odero Odero huyu wa kwanza kwenye picha, Emmanuel Masonga huyu wapili kwenye picha na Geofrey Maseta huyu watatu kwenye picha.
Emanuel Masonga na Geofrey Maseta wanapiga simu kwa Viongozi wa Chadema Wilaya, majimbo na Mikoa kuwambia kwamba watawapa milioni tatu tatu waje Dar es salaam, wataandaliwa press ili wamtukane Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche
Wakat huo Odero Odero yeye anapiga simu kwa Viongozi wetu huko kwenye Wilaya na Mikoa anawambia kwamba kuna pesa zipo ila anatafuta watu ambao watamsaidia kufanya organization kwenye Baraza Kuu ambalo linatarajia kuketi September ili ianzishwe hoja ya kumkataa Makam Mwenyekit Bara Mhe. Heche kwasababu anamisimamo mikali ambayo imekuwa kikwazo kikubwa kwenye issue yao ya Maridhiano(MAVIZIANO), Odero kapigwa simu kwa baadhi ya Viongozi wa Kanda ya Ziwa anawambia kwamba kila mtu ambae yupo tayari kushiriki mpango huu atampatia kiasi cha shilingi milioni 5 kila mmoja.
Nduli Idd Amin Mama na vibaraka wake wanafanya yote haya wakiamini kwamba ndo itawasaidia kuifanya CHADEMA ikubali kuingia kwenye MAVIZIANO.🚮
Unajua mpaka najiuliza kwani hawawezi kufanya maridhiano na huto tuvyama twao ambato walitutumia kuhalalisha mauaji ya Watanganyika siku ya Oktoba 29, 2025??
Yani Nduli Idd Amin Mama ameuwa kwa risasi Watanganyika zaidi elfu kumi, kaiba maelefu ya miili ya ndugu zetu na kwenda kuizika kama mizoga kwenye makabuli ya Halaiki sasa ameona mikono yake imejaa damu, Dunia yote imemtenga sasa analazimisha kutaka kuitumia CHADEMA kusafisha mikono yake kwa kitu kinachotwa MAVIZIANO ili International Community wampunguzie kibano maana nchi iko na hali mbaya kiuchumi, Hazina kumekauka.
Namba ambazo Masonga anatumia kupigia watu ni hizi mbili
What’sapp +25571509412 na normal call +255754914888
Odero Odero anapigia watu kwa kutumia WhatsApp no. +255767107118
Maseta anatumia +255767486838
NB. Odero alishafukuzwa CHADEMA sio mwanachama wetu.
Masonga anasema yeye ni CHADEMA lakin deal zote chafu za kuiumiza CHADEMA lazima na yeye ashiriki.
Maseta ni Mwanachama wa CHAUMA
BBC Africa kupitia #BBCAfricaEye wametoa Documentary kuhusu Mhe. Lissu inaitwa A FIGHT TOO FAR unaweza kutizama kupitia link hii hapa👇
https://t.co/glhG52Mk7v…
Putin’s praise for coordination ‘against hegemony’ signals a shared willingness to push back against Western pressure and scrutiny, including concerns over democracy, human rights, and religious freedom.
#TanzaniaMassacre#SamiaMustGo#FreeTunduLissu