@Labella_Mafia95 Kuna bilionea mmoja anaitwa David mulokozi wa uko manyara, alikuwa anahojiwa na millardayo yeye alisema kwamba biashara ya partnership uwa ina silimia ndogo sana kudumu na kuleta mafanikio hii ni kutokana na greed na malengo binafsi
@bughalizah@nyuki_malkia Kuna kitabu kimeandika kuhusu ukaribu wa manyota na huyo manzi adi lile busu na ile sura kwenye kitambaa kuna kanamna fulani hivi apo , inahitaji fikra zaidi ๐ ๐๐