Kwa hiyo tumeamua kama chama kumtembeza Sofia kwa style ile ile ya akina Migiro miaka ile ya kula ubwabwa na maharage hadharani 🤣🤣
Kuna muda hili lichama linatutoa mvi sana kulitetea ila basi tu tu tumelipenda na wanaoliongoza ndo matabulalasa hayo
BET Awards: BET - Disqualify Diamond Platnumz from BET AWARDS 2021 (for Best International Act) - Sign the Petition! https://t.co/x6SMiZl2HC via @Change