JE, VYOMBO VYA HABARI VINA JUKUMU GANI?
Ninaamini kuwa vyombo vya habari vina jukumu kubwa la kuelimisha, kuasa na kuburudisha. Jukumu kubwa la radio na Runinga ni kuielimisha jamii masuala ya kujenga wala si kupotosha. @radiomaisha@RadioJamboKenya@Radio47_Kenya