@tutla7 Bongo drama sana,mtu unakuta anasema Jigga na Beyonce ndio role model couple yake ila kwao wazazi wake wamedumu katika ndoa miaka 35+ kwa amani na wamewalea vizuri kwa upendo wa dhati ila mfano hai wa home hauoni kabisa π π
Hapana haina tafsiri hiyo moja kwa moja,Per Capita Income,GDP,GNP sio vipimo pekee vinavyoweza kutoa taswira halisi ya Economic Growth ya Nchi coz vina mapungufu mengi tu,so kuna parameters kama Stock Exchange,Purchasing power Parity,Investment, Income gap,Inflation,Disposable Y
Aisee, Uganda wametupita TZ kwa per capital income 2026.
Uganda's per capital income β $1,420.
Tanzania per capital income β $1,360.
Kwenu wataalam;
Does this translate kwamba UG Ina uchumi inayokua vizuri (strong economic growth) kuliko TZ?