Tukiwaambia millennial generation, ilikuwa generation ya ajabu mnatutukana, kwa hiyo watu 20 walikaa chini wakatunga katiba yake nchi nzima week mbili tu😆
kuna Mwana X mwenzetu kanishauli tutengeneze group hili kila mtu ajoin halafu tuhakikishe group hilo tufikishe member 1000 kutoka humu humu X halafu kila mwanamember tuhakikishe kamfollow mwenzake nawasilikiza kama mpo tayari wakuu
shusha handle chini na weka alama kuaccept
My brother ✊🏽🔥 @HecheJohn
Hii ndo ilikuwa hotuba bora ya leo katika msiba! Full stop! Hakikisha unaisambaza ktk magroup yako yote ewe mtanzania!
Bila kupindisha Heche ameeleza kwa nini @ChademaTZ2 ni chama kikuu Tanzania
CCM si chama imebaki dola!
DNA aliyowaachia muasisi wenu Mzee Mtei idumu 💪🏽
Kweli wanaCHADEMA mlitusaidia kama Taifa pa kubwa January 2025 na kuiweka chama katika mikono salama ya uongozi!
History has been written!
Pumzika kwa amani Mzee Mtei tunakushukuru kwa uongozi wako!
Huu ndio UHARAMIA wa Tume mwitu ya Chande. Wanakusudia KUUWA watu wote wenye ushahidi wa mauwaji. Hata hivyo, haitamsaidia muuwaji Samia. Kuweni makini. Boycott Chande’s nonsense.
Hadi muda huu tumefanikiwa kupata Tsh 4,337,058.
Lengo letu ni kupata Tsh milioni tano bado shilingi 662,942 ili hawa ndugu zetu waweze kupata matibabu.
Tunahitaji mchango wa kila Mtanzania ili tuweze kufanikisha jambo hili, tunapokea kiasi chochote kile ulichojaliwa na Mungu.
Michango itumwe kwenye namba hii-;
Mpesa - 0744719187
Jina - Musa Ndile
Repost 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Today marks two months since the tragic events of October 29th in Tanzania, when innocent citizens, including Daniel, were killed simply for exercising their basic rights to protest and speak freely. Daniel, like many others, only wanted his voice to be heard. Instead, he was silenced with bullets-a heartbreaking reminder of how fragile human rights are when they are not respected. 💔
On the picture left, Daniel carried the Tanzanian flag on October 29th symbolizing hope, courage, and the fight for justice. He was killed that day for protesting. On the right, in the United States🇺🇸, days before On October 17th, we were able to protest peacefully, protected by authorities, exercising the very freedoms that Daniel and so many others died defending. This stark contrast highlights the lack of democracy in Tanzania, where citizens demanding their rights were met with violence and killed rather than protection. In the United States 🇺🇸, police were present to protect our right to protest. In Tanzania they killed the innocent people-protestors, bystanders, and even individuals in their own homes. 💔 There are no excuses for killing innocent civilians-NONE. Those who ordered these killings and those who executed them must be held accountable for every life taken.
The Universal Declaration of Human Rights reminds us:
•“Everyone has the right to life, liberty and security of person.” (Article 3)
•“Everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media.” (Article 19)
•“Everyone has the right to freedom of peaceful assembly and association.” (Article 20)
These are not privileges-they are fundamental human rights. The killings in Tanzania demonstrate a shocking disregard for these rights. The world cannot-and must not-look away.
We honor the lives lost and stand in solidarity with those whose voices were silenced. Justice, accountability, and the protection of human rights are not negotiable-Rest in power, Daniel, and all whose lives were taken too soon. 🇹🇿 Your sacrifices will not be forgotten. Hatutawasahau 🙏🏽😢
Huyu Mzee anahisi watanzania ni WAJINGA NA MISUKULE.
Wewe mtanzania nisikilize mimi "USITOE USHIRIKIANO KWA HII TUME UTATEKWA UPOTEZWE".
Kumbuka jeshi la polisi lilituma meseji kuwa ni marufuku kuwa na video za MAUWAJI kwenye simu yako, kufanya hivyo ni UHAINI.
Sasa leo huyu MZEE anakuja kuhimiza mtoe ushirikiano msikubali hawa ni VIBAKA kumbuka aliewateuwa ndio alietuma polisi waje kuuwa ndugu zetu na kusema ni watu kutoka nje ya nchi.
Usikubali kutoa ushirikiano kwa hii TUME MAANA ukifanya hivyo unalisogelea KABURI lako. Wapo kwenye wakati wa kupoteza ushahidi hawa.
Waambieni tushatoa ushahidi wakawaulize CNN. Sisi hatuna muda wa kushirikiana na WAUWAJI.
TUTAKUWEPO🫵😎
She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.
Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her abroad instead of appearing herself, fearing to meet the same fate she imposed on Tanzanian youth.
Justice is coming, and when it does, everyone who chose to remain silent during our suffering should remain silent then as well. Hatutaki unafki…….
#EnforcedDisappearances#Tanzania
Nicodemus Julius Loyore was abducted by plainclothes armed men who identified as police in Dar es Salaam
Nicodemus took part in MO29 and has been ciritcial of @SuluhuSamia murderous cabal
This is why we say #SamiaMustGo and her cabal
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @UNHumanRights@AmnestyEARO@hrw@Europarl_EN@SenateForeign@SFRCdems@StateDRL@FCDOGovUK
Jeshi la Polisi limemteka Nicodemus Julius Loyore jana akiwa ofisini kwake, Walifika Polisi waliovaa kiraia wakajitamburisha kisha wakamchukua na kuondoka nae maeneo ya Mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.
@tanpol acheni kuteka! Mnachofanya ni uchochezi!
#D25 #J1