FATHER KITIMA IS BACK LIKE HE NEVER LEFT.
Waliomjeruhi wapate ujumbe huu. Karudi akiwa na TONE ya juu sana round hii.
MUNGU AKUWEKE Rev . Fr. Dr. Charles KITIMA (JCL,PhD). Katibu mkuu wa baraza la Maaskofu KATOLIKI.
Pole kwa changamoto zote ulizopitia.
TUTAKUWEPO🫵😎
@masoudkipanya Sahani haina chakula
Chupa ya maziwa haina kitu,
Mtoto analia kwa uchungu...
Lakini baba anamshangaa,
Anajiuliza: "Analilia nini?"
Wengine hawalalamiki kwa sababu ya kelele, bali kwa sababu ya hali zao. Usipuuze kilio kabla hujaelewa chanzo chake
Kama umezaliwa mwanaume kubali;
1. Sio kila unayempenda atakupenda pia
2. Sio kila unachokitaka utakipata
3. Sio kila unayemuhitaji atakuhitaji
Matumizi ya akili yawe mengi kuliko hisia,
Hii itakusaidia kutopoteza muda.
Hauwezi kuwa Rais wa nchi alafu una panic hovyo, kila fikra huru unaona ni threat kwako—atekwe, auwawe, alawitiwe.
Wazee wetu hawakupigania uhuru ili tuwe gizani hivi.
We deserve better leadership.
#NoReformsNoElection
Imechukua siku 2 kuchunguza kifo cha raia akiwa polisi KE — ripoti iko public.
Iko wapi ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao?
Yuko wapi Mdude?
Wako wapi Soka na wenzake?
Yuko wapi Chaula?
Yuko wapi Chonchorio?
Yuko wapi Kipanya?
Tusitaniane - #NoReformsNoElection
Kama unataarifa yoyote ya mahali alipofichwa @mdudenyagali wasiliana na hizi namba.
Kuna donge la 10M, kama endapo utatusaidia kumpata ndugu yetu.
#FreeMdudeNyagali