TOYOTA IST🚘🔥
Gari nzuri sana
Engine 2nz
Cc 1290
Year 2004
Ream sport
Full AC
Full document
Gari haina shida YEYOTE
Price:9.7 million
Call:0785372663
Hyo ni ofa yng 9.7 m gusa hapo chap tukupe mchuma✌
Kwa unyenyekevu mkubwa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutupatia sote zawadi ya uhai.
Namshukuru Mhe Rais @SuluhuSamia kwa kuendelea kuniamini na kunipa dhamana ya uongozi.
Kisarawe nawashukuru sana mmenilea, mmenijenga. Mtabaki moyoni mwangu!
HODI HODI Temeke 🇹🇿
"tumekataa hata senti 5 ya serikali ya ruzuku. Tunaijenga Chadema yenye kujitegemea. Waziri wa fedha ananipigia simu 'Mbowe unajua tangu uchaguzi mnazo zaidi ya bilioni moja zenu, njoo mchukue fedha zenu'.. Nikamuuliza 'urafiki wetu na CCM umeanza lini?'"- @freemanmbowetz
Kauli patanishi na unganishi za Rais @SuluhuSamia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
Nimekutana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China wanaofanya biashara zao Tanzania. Wameahidi kuongeza biashara na uwekezaji na kuleta teknolojia na ujuzi kwa Watanzania. Nimewahakikishia ushirikiano kutoka Serikalini.