"Lord Jesus, you died that I might live forever in your kingdom of peace and righteousness. Strengthen my faith that I may know the power of your resurrection and live in the hope of seeing you face to face for ever."
#ClassifiedMindsets
Mungu aliwasamehe makahaba, lakini ulipofika wakati wa kumchagulia Mwanawe mama, alimchagua bikira. Jifunze kutoka kwa Mungu. Bado unasubiri kuwa DC ? Sababu ya kurudi ni mauaji 29/10/2025 kwani ina nguvu na heshima zaidi ya ile sababu iliyokuondoa kwenye wajibu mwema.
Hii ripoti ya @CNN!!!!! Moyo wangu unavuja damu.
Kwamba mliwaondoa majeruhi wazima na kuwapeleka mortuary?
Kwamba mmezika watu kwenye makaburi ya pamoja, badala ya kuwapa ndugu miili ya watu wao?
Haya mtayajibu vipi? Hiyo kiu ya madaraka ni kubwa kiasi gani kwamba unafanya haya kubaki madarakani?
Utawala usio na ridhaa ya watu, Utawala wa damu.
Huwezi kuunda timu ya kujichunguza mwenyewe, hauwezi kuficha huu uovu.
Dunia inaona na inajua.
Wiki nzima tangu niachiwe na polisi, nimekua nikidai Paspoti yangu ili nisafiri kwaajili ya kupata matibabu bila mafanikio.
Hakuna sababu yoyote ya vyombo vya dola kuendelea kushikilia paspoti yangu.
Nafanyiwa haya kwasababu ya msimamo wangu wa kisiasa, nimeona ni muhimu niwajulishe Watanzania na dunia kuhusu huu unyama wa kujaribu kuninyima haki ya kupata matibabu.
Kakaangu @LarryMadowo najua upo bize na ile documentary ya Mauaji ya kitisha yaliyofanyika Tanzania siku za GIZA.
Naomba matukio haya mawili ambayo yametoka jana na leo (Hospitali ya mwananyamala DSM na Mount Meru Arusha) yaingie kwenye Video yetu.
Usisahau sehemu muhimu ya Serikali Wamepinga video kuwa zimetengenezwa na AI japo tumeweza kuthibisha kuwa sio AI na AI imekataa kabisa kuhusika na kusisitiza video ni Halisi. Tunaomba mkanganyiko huu Uwe sehemu ya VIDEO hiyo.
Sikufundishi kazi ila hayo yataonyesha jinsi gani tulivyo na serikali KATILI sana kama watanzania.
Naomba nisaidie kumtag @LarryMadowo Barua hii FUPI imfikie.🙏🏿
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Moja ya COMMENT bora kabisa kutoka kwa mwananchi mtandao wa Instagram. Natamani watu wote TUSOME mpaka mwisho.👇🏾👇🏾
Anandika Mdau.
Kuna kila sababu ya Watanzania wote kuingia kwenye maombi kwa uzito mkubwa kuwaombea viongozi wetu
wanaobahatika kutuongoza ili Mungu
awape akili na busara za kuamua mambo.
lla Kama aina hii ya akili itaendelea kutuongoza tuna Safari ndefu Sana
Kama Taifa kufika kwenye Taifa la Haki.
Ushauri wang kwako Kaka mwanasheria mkuu (AG) jiulizeni kwanini Mange wananchi walio wengi wanamsapoti Sana yeye kuliko serikali?
Je anagawa pesa?
je anawalisha?
je wanamapenz binafsi na Mange?
Sasa kwanini wanamsikiliza wanatii
anachosema kuliko kuitii serikali yao?
Mkiweka hasira pembeni mtajua kiini Cha
tatizo ni Nini, but to me ata mange mkimkamata wataibuka wakina MANGE wengne.
Thus is why kudeal na kila anaeikosoa serikali haiwezi kuwa solution ya kudum ya kuwanyamazisha Watanzania, solution apa ni kudeal kwa kusikiliza wananchi walio wengi wanataka nini, ili Mange akose Cha kuongea arudi kwenye kazi yake ya zamani ya umbea.
serikali au viongozi mnampa Cha kusema kwa utendaji wenu mbovu. jirekebisheni
tuone atatoa wap Cha kupost—vingnevyo mtaua wengi mtateka wengi,
mtabambikizia kesi watu wengi mchume
dhambi bure mbele za Mungu, maana wakosoaji ni wengi, magereza
hazitatosha, mkisema muue basi nchi nzima itanuka damu.
Tutangulize kwanza hofu ya Mungu mbele then atatupa akili na hekima za kiuongoza bila hata ulazima wa kumwaga damu za Watanzania.
MWISHO.
Repost
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
I call for the United Nations @UN to investigate the allegations of human rights violations and the killings of demonstrators and political activists in Tanzania as a matter of urgency.
Kwasasa tunapokea TAARIFA zote za Vifo, majeruhi na waliopotea kwenye maandamano #MO29
TUMA Taarifa hizo sasa kwenye namba hiyo ya whatsapp.
Usipuuze hii tarifa ni ya muhimu sana kuelekea safari ya kutafuta HAKI ZA NDUGU ZETU.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎