Frame za picha
Size A3☑️ (30×40cm)
Price:20,000
Chagua picha zako nitumie mimi DM au WhatsApp ☎️+255677523114 nikutengenezee picha saa,picha mbao au frame ya kioo
🔵 Location📍dar es salaam📍 kigamboni
Deliver popote adi mikoan
Mungu BARIKI KAZI ya mikono yangu
📍Repost
Kunae kipindi nilipitia msoto nikamuomba sissy wangu kama 100k na najua alikua na hio kibunda.Mahn alininibu hovyo since hio kipindi sijawai ongea nae wala kumpigia saii ni kama mwaka umepita hatujawai onana wala kutafutana.
Kuna jamaa alikuwa anaongelea ule utajiri wa kuku kula punje za mahindi.......
Kinachofanyika ni kwamba inapigwa hesabu ya miaka uliobakiza duniani kama 20 mnagawana
Unapewa maybe 7 ya kuwa tajiri, 13 unaenda kuwatumikia waliokupa utajiri mpaka siku yako ya kufa ikifika.
Life likikuvuruga, many of us kimbilio letu ni nyumbani.
Ukishakua mtu mzima una wajibika kutengeneza "nyumbani" kwa watoto wako pia.
At certain point in life, they will need it.
Mwanangu kapiga simu usiku kama ngoma 9, nashida na 35k
Sikua na ela ila nilituma chap, sinaga utaratibu wa kutuma ela kutoka bank kwenda mobile network, ila nikatuma
Imefika tu ananambia nipo hospital dogo anaumwa
Kuuguza sio poa, naogopa sana yani
Utekelezaji wa maono ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ya kukifanya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kuwa kitovu cha usafiri na usafirishaji katika ukanda wa kati na kimataifa unaendelea kwa kasi.
Kwa sasa, utekelezaji wa Sehemu ya I, inayohusisha ujenzi wa miundombinu, umefikia asilimia 85.17, huku Sehemu ya II, inayohusisha ujenzi wa majengo, ukiwa umefikia asilimia 71.52.
Mradi huu unaendelea kuonesha maendeleo makubwa yanayolenga kuimarisha usafiri wa anga na kukuza uchumi wa taifa kwa ujumla.
#SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele