Rais Museveni wa Uganda amepiga marufuku usafiri wa umma nchini humo kwa siku 14, usafiri huo ni pamoja na mabasi na treni za abiria, taxi, bajaji na bodaboda. βmagari binafsi yanaruhusuwa ila Watu wasizidi watatu dereva akiwemo, gari kupakiza Familia nzima marufuku"
(πΉ via NTV)