..
STG mpya imeongeza mwongozo wa kutoa chanjo Kwa wagonjwa wenye CKD, especially stages 3, 4 na ambao Wana plan ya dialysis
+Chanzo kama COVID 19 vaccines, pneumococcal poly vaccine, tetanus, diphtheria n pertussis, MR zimewekwa kwenye schedule
Hii yote ni kwasababu uremia causes immune suppression usije shangaa sana
Stay updated
I really love grateful and appreciative patients & care takers!
You work and someone and they really show you that you’ve done them a great service ☺️
Medicine is good, it’s so bad that in Uganda it has been disrespected so much
Good morning Maisha yana mambo ambayo hatuwezi kuyatabiri Leo unaweza kuwa na changamoto lakini kesho mambo yakabadilika kabisa Usiruhusu hofu ya kesho ikunyime amani ya leo
Kuna dem huwa anadharau sana hapa ofsn Leo amepata hezi ya ghafla tukiwa kazini. Mimi nayeye tu ndo tulikua timebaki ofsn, So mm ndo nlikua mtu pekee wa kumsaidia kwenda kumnunulia ped. Kaniomba nikamninulie nimetoka nje nikawasha SUBARU yangu nikasepa zangu, Malipo hapa hapa.
2027 imebaki miezi 6 tu.
2016 ilikuwa miaka 10 iliyopita.
COVID ilianza zaidi ya miaka 6 iliyopita.
Waliozaliwa 1990 wamebakiza miaka 14 tu kutimiza miaka 50.
Na leo, 2007 iko mbali zaidi kuliko 2040.
Muda unakimbia.
Acha kusubiri. Anza sasa.