@Addy_Adams Wanaharakati haswa waliokimbia nchi sbb ya kuwindwa mfano waliopo Kenya kina Sativa wanalipwa kama ilivyo kwa wakimbizi wote wa kisiasa duniani
Ss kuna ajenda inatengenezwa na kina madenge na ccm wenzie kuwa mauaji ya Oct ni sponsored kupitia wanaharakati ndo twist inayofanyika
@Addy_Adams@Feudal70 Kama ni msafi haimuathiri chochote. Ila kama anaficha mahela yake nje au anapiga michongo na maDon wa nje hio chaneli inakuwa imekatwa ataishia kuwa loko au afanye deals na wachina
@Gado255@EsirEid@ReganTesla_@AmosdeSantos1@BillyTronix1@INFLUENCERjr Ni hii hapa kaka
Nimejitahidi kusolve kimyakimya kwa muda nilioweza kuvumilia walau wiki karibia mbili kwenda tatu
Ila nakosa amani brother
Ndio maana imenipelekea kuja huku baada ya kuona nashindwa kusaidika
Na piah move ilivyofanyika inaninyima amani aisee ๐
@MwansasuSnr@TrillAlbie Sana aisee, hapo unaisikia Sarah ya Rama D au Nizikwe hai ya Domo na Dojo au Mangustino kwenye Wakati Umelala ya FA ...ni noma ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
@TayanahTibs@ErickKamihanda Hii ndio evidence ya Saida kuujaza uwanja? ๐คฃ๐คฃ๏ฟฝ๏ฟฝ
Maana naona unatoka kwenye topic baada ya kushindwa hoja. Sio kila mtu atakuja hapa kusema aliwai kuingia wapi akafanya nini ila ukae uelewe, watu tulikuwepo na tulishuhudia kila kitu na wakati mwingine kushiriki.
@TayanahTibs@ErickKamihanda Kwa akili yako unafikiri aliyekuwa clouds tu ndio alikuwa kwenye tasnia na ndio anao uhalali wa kusema mpaka uongo wowote. Sawa basi Saida Kalori aliujaza uwanja wa Uhuru 2001๐ ๐ ๐
@TayanahTibs@ErickKamihanda So kuwa radio presenter ndio evidence? Yani kuwa pale clouds ndio unafikiri unaweza danganya madogo sisi tukae kimya. Msikuze vitu kuliko uhalisia utafikiri wengine hawakuwepo.
@TayanahTibs@ErickKamihanda 2002 nilikuwa naudhulia concert zote kubwa. Tuna evidence za Bi Khadija Kopa. Tukose ya Mr Nice na Saida 2000s? Acheni kuwa danganya Gen Z๐ ๐
@TayanahTibs@ErickKamihanda Historia aiandikwi kwa kutumia common sense. Kama kuna kiwanja kiliwai jazwa leteni evidence. Yani ujaze uwanja wa taifa 2002 alafu ikosekane evidence?