Wananhi wote tunatakiwa kuendeleza kampeni ya kujikinga na ueneaji wa virusi vya ugonjwa corona kwa kuondoa zana ya mazoea ya kushikana mikono wakati wa kusalimiana
Hili ni boma la vyumba vya madarasa shule ya msingi kijiji cha llangale kata ya masumbwe wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita limejengwa kwa nguvu za wananchi
"Ifike mahali, kama taifa, tuangalie namna ya kuwa na utaratibu ambao utahakikisha wanawake wanapata uwakilishi wa asilimia 50/50 katika mifumo mikuu, hususani uchaguzi." - Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba - Waziri Mkuu Mstaafu.
#TamashaLaJinsia14#GenderFestivalTz
“World leaders must ensure communities’ rights to resilience by investing in adaptation, raise awareness to citizens on mitigation measures in efforts to curb the #ClimateCrisis.” @KaseloPetro, Community animator, Mbogwe – Tanzania. #SouthSpeaks#UNGA
Wananchi wa kata ya masumbwe wilaya ya mbogwe geita wamekubalìa kuhusu ujenzi wa madarasa mawili na ofisi moja shule ya sekondari ya nyakasaluma baada ya kumaliza kuchimba msingi ili kupunguza kubanana kwa wanafunzi darasani
Jengo la shule ya secondari nyakasaluma kata ya masumbwe wilaya ya mbogwe geita limejengwa kwa nguvu za wananchi ili kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa kwapamoja tunaweza
Mraghbishi akiwa kwenye mkutano mkuu uofanyika tr 26-03-2019 kijiji cha ilangale kata ya masumbwe wilaya ya mbogwe geita anaelimisha jamii kuhusu Haki za binadamu chukua hatua
Matofa ya ujenzi wa chumba kimoja cha darasa yanayoletwa na wazazi wa wanafunzi baada ya makubaliano yao kila mzazi kuleta tofali katika shule ya msingi uhuru kijiji cha shy'a' kata ya nyakafulu wilaya ya mbogwe geita
Jengo la nyumba ya mwalim kijiji cha kanegere kata ya bukandwe Mbogwe GEITA ambalo limejengwa kwa nguvu za wamanchi zaidi kuanzia msingi had kupaua baada ya wamanchi kuona kua kunamiradi nyingi sana ambazohazijakamilika kuna majengo ya madarasa 10 na ofis 5 ambazo hazijapauliwa
Mkutano mkuu wa kijiji cha shy'a'kata ya nyakafulu wilaya ya mbogwe geita wamekubaliana kuanzisha mchango wa ujenzi wa zahanati ya kijiji ilikutimiza agizo la serikali kuwa kila kijiji ijenge zahanati na kusogeza huduma za afya kwa jamii