@LuhagaMpina Mheshimiwa ni kweli kenya inapata 60% ya mazao Yao na Tanzania 10% ? Serikali imeshindwa je kusimamia wakulima? Je vyama vya ushirika ni Tatizo Tz?
Tafakuri kuhusu barabara ya Kibada-Tuangoma
1. Mashimo ya barabara yanatanuka kwa furaha ya kumkosa Mbunge.
2. Hakuna anayetambua kwamba malori mengi ya kusini yanatumia barabara hii. Haistahimili.
3. Viraka vyageuka mashimo makubwa zaidi.
NI HATARI
Vyama vya upinzani Tanzania haviko tayari kuchukua nchi! Kama kweli, wanataka nchi basi waungane wote! Kuwepo na chama kimoja tu Cha upinzania( strong unity). Kwa mazingira ya Sasa opposition parties will never defeat ccm!
Nawatakia nyote kheri katika Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Imekuwa miaka 61 ya kazi njema inayoendelea kutufanya kuwa wamoja na bora zaidi. Kazi ya kutuinua toka hatua moja kwenda nyingine kimaendeleo, kazi ya kubadili hali ya maisha ya wananchi wetu, na kazi ya kuendelea kuyalinda Mapinduzi kwa kuzitunza tunu za amani, umoja na mshikamano wetu.
@ZetuSiasa Halafu huyu huyu akashiriki kupitisha Sheria ya habari ya mwaka 2016 ambayo kimsingi inakiuka haki nyingi za waandishi na Uhuru wa habari kwa ujumla
Pongezi nyingi kwako @aeyakuze kwa nafasi hii ya kuendelea kuhudumu na kuleta matokeo katika ngazi ya juu zaidi.
Nakutakia kila la kheri katika ukurasa huu mpya unaokwenda kuufungua.